Ndugu yangu mimi sina wasi wasi sana kama game la kwanza....anyway chochote kinaweza tokea ...nina homa za vipindi naweza nisingalie pia kipindi cha pili
Masanilo, pole sana na hizo homa za vipindi. Ila naomba uiangalie hiyo video hapo juu inaweza kukuliwaza kidogo. Unaweza kupata mbinu kutoka kwa Legend Messi na ukamsaidia Mr.Guus.
Invisible, nilifikiri wewe ni the Gooners duh haya see you this weekend kwenye EPL.