BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
mchezo mzuri sana sana...lets wait for mchezo mtamu sana leoo.....
SHADOW,
Leo mimi na wewe tuko parallel.
Masa, relax my dear!..he he, utafikiri ni Taifa stars inacheza maana hata presha haipandi hivi..Ukubali tu matokeo ili kulalike leo lasivyo nitashindwa nikusaidiaje!!!!
Powa powa mkuu EJM. Nunua kabisa mtori na kisusio hapo moshi kwa ajili ya sherehe ya ushindi!
Kwakweli yaani wa kukata na shoka!..Tungojee tu mpambano wenyewe
MASILANO.
LEO NINA RAHA SANA BAADA YA KUUMIA JANA.
BELINDA na ICADON Walinishawishi NIKAWA MGUMU.
Leo najisalimisha mapema.
Timu yangu halisi ni chelsea na watashinda.
SHADOW,BELINDA,ICADON,MBU.TUSKER,INVISIBLE,KANA KA NSUNGU..... mpo??????????????????????????????????????????????
Sincerely, I hope mechi itakuwa nzuri isiyo na kadi nyekundu na filimbi kibao. Najua The Bluez wakiiga milindimo ya waspaniola wamekwisha. Leo Beki za Baca ndo zitakazofungua milango ya Chelsia.
Nyie watu wa Arsenal naona mmehamia Barca anagalieni msije mkaongezewa machungu
Nipo na Messi hapo juuu!..Sina preshaa,wewe nakuonea huruma kabisa tena mapema...
Wakifungwa Barca mi nahofia yasije yakatokea ya mshabiki mwenzenu huko KenyaBelo, raha ya ushabiki ni kujua kuwa kuna matokeo ya aina tatu. Barca, Oyeeeeeeeeh
BELINDA,
Leo unanitupa Best yako?.
Wakifungwa Barca mi nahofia yasije yakatokea ya mshabiki mwenzenu huko Kenya
Barca nampenda Messi na Chelsea nipo na Masa!..Umeona hiyo?!Sina presha kwa maana hiyo!
Pole Beste imekula kwako, ha ha ha!..
Lakini haya yote anayasababisha Wenger mi naogopa maana naona wengi watatutoka