Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Masa, relax my dear!..he he, utafikiri ni Taifa stars inacheza maana hata presha haipandi hivi..Ukubali tu matokeo ili kulalike leo lasivyo nitashindwa nikusaidiaje!!!!


Mpe nusu kaputi. Matokeo atayaona kesho.
 
Powa powa mkuu EJM. Nunua kabisa mtori na kisusio hapo moshi kwa ajili ya sherehe ya ushindi!

SHADOW,
Hukuna wasiwasi.
Kwakuwa mtori na kisusio huwa ni vyakula vya asubuhi, itabibidi nipate MACHALARI ya nguvu.
 
Masanilo et al: Here's a hypothetical question for you: Is it wrong, even if you're the Bluez fun , to be so charmed by the way Barcelona play their football that you almost hope they win everything in sight?

teh teh teh
 
Kwakweli yaani wa kukata na shoka!..Tungojee tu mpambano wenyewe

Check hii quote from BBC:

Alfredo Relano, editor of Spanish sports daily AS, had this to say after Barca beat Real Madrid 6-2 in the Bernabeu on Saturday: "Football of this quality can only be played in paradise." Chelsea boss Guus Hiddink preferred to call the performance "respectable".
 
MASILANO.
LEO NINA RAHA SANA BAADA YA KUUMIA JANA.
BELINDA na ICADON Walinishawishi NIKAWA MGUMU.
Leo najisalimisha mapema.
Timu yangu halisi ni chelsea na watashinda.
SHADOW,BELINDA,ICADON,MBU.TUSKER,INVISIBLE,KANA KA NSUNGU..... mpo??????????????????????????????????????????????

Nipo na Messi hapo juuu!..Sina preshaa,wewe nakuonea huruma kabisa tena mapema...
 
I wish Chelsea and Barca fans all the best
 
Nyie watu wa Arsenal naona mmehamia Barca anagalieni msije mkaongezewa machungu
 
Sincerely, I hope mechi itakuwa nzuri isiyo na kadi nyekundu na filimbi kibao. Najua The Bluez wakiiga milindimo ya waspaniola wamekwisha. Leo Beki za Baca ndo zitakazofungua milango ya Chelsia.

Shadow!
Iwe mechi ya burudani na ushindani maana ndo itanoga zaidi na mwisho wa siku 'mwali' wa Man Utd apatikane maana wale ndo kidume kuingia fainali wa kwanza..ha ha
Baadae mkuu!..
 
Nyie watu wa Arsenal naona mmehamia Barca anagalieni msije mkaongezewa machungu

Belo, raha ya ushabiki ni kujua kuwa kuna matokeo ya aina tatu. Barca, Oyeeeeeeeeh
 
Belo, raha ya ushabiki ni kujua kuwa kuna matokeo ya aina tatu. Barca, Oyeeeeeeeeh
Wakifungwa Barca mi nahofia yasije yakatokea ya mshabiki mwenzenu huko Kenya
 
Wakifungwa Barca mi nahofia yasije yakatokea ya mshabiki mwenzenu huko Kenya

Yule chizi tu, let is soul rest in Peace. Nahisi alikuwa ana "Negative Soccerphobia"

Nyongeza: For the record, this season Barca have scored four goals in a game six times, five goals five times and six goals five times. That's why people like watching them.[source BBC]
 
Barca nampenda Messi na Chelsea nipo na Masa!..Umeona hiyo?!Sina presha kwa maana hiyo!
Pole Beste imekula kwako, ha ha ha!..

Umeshampa nusu kaputi Masanilo? Na kama anakaa ghorofani basi leo afungiwe kwenye basement.
 
Lakini haya yote anayasababisha Wenger mi naogopa maana naona wengi watatutoka
 
Lakini haya yote anayasababisha Wenger mi naogopa maana naona wengi watatutoka

Belo, lakini lazima profesa apewe benefit of doubt. SAF ilimchukua toka 1986 mpaka 1999 kulibeba hilo Kombe. Wenger katua Arsenal 1996.
 
Back
Top Bottom