Leo ni lazima kurudisha lost points na kuna dalili za Arsenal kushinda.
Arsenal leo wanaweza kuwa na Emmanuel Adebayor, Bacary Sagna (wote waliumia ankle) na Samir Nasri (goti)
Abou Diaby (tumbo),Kolo Toure (calf), Theo Walcott (shoulder) na Emmanuel Eboue (knee) hawatacheza.
Chelsea hawana Didier Drogba ambae amefungiwa,Joe Cole aliumia ankle walipocheza na Bordeaux.
Juliano Belletti (ankle), Michael Essien (knee), Ricardo Carvalho (knee) na Franco di Santo (hamstring) wote nje na ni Alex tu ndie anatarajiwa kucheza baada ya kuumia musuli.
Uwanja wa Stamford Bridge ambao upo kilomita 13 kutoka uwanja wa Emirates kaskazini ya jiji la London.
Chelsea: Cech, Cudicini, Hilario, Bosingwa, Ferreira, Alex, Terry, Ivanovic, Bridge, A Cole, Lampard, Deco, Ballack, Obi, Kalou, Malouda, Anelka, Sinclair, Stoch, J Cole.
Arsenal: Almunia, Sagna, Silvestre, Gallas, Clichy, Nasri, Denilson, Fabregas, Vela, van Persie, Adebayor, Fabianski, Song, Djourou, Ramsey, Bendtner, Gibbs, Hoyte, Wilshere.
Utabiri wangu, Arsenal 1 Chelsea 0.