Mzozo wa Mizozo
JF-Expert Member
- May 26, 2008
- 426
- 15
tunashinda. period.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Interesting... Najua hapa GT na wenzake hawatii neno!tunashinda. period.
tunashinda. period.
Droo hakuna mkuu! Subiri uone...Nawatakieni droo njema🙂
Fidel, ukizingatia Chelsea wako nyumbani, kwa maandishi yako ya 1-0 unamaanisha Chelsea itaifunga Arsenal kwa magoli 1-0. Asante kwa ubashiri mzuri 🙂Chelsea wataloa 1-0 tu kinawatosha.
Karbu JF mkuu, Songea salama? Nafasi ya Ushindi haipo kwenu Arsenal, naomba game likiisha njoo hapa ulonge tena mkuu.Kwa mara ya kwanza naandika katika forum hii. Ukweli ni kuwa mpira unadunda in 90mins. Hakika lolote linaweza tokea ila tuangalie historia. Sisi the gunners tuna nafasi kubwa ya ushindi ukizingatia tunataka kupunguza gap liwe points 7 na turudi kwenye mbio za ubingwa.
Qam - songea
Ha ha ha, Nzoka... Game likiisha mwite na GT hapa!Sisi hatusemi mengi. Chelsea tuchemshieni tu hicho kiti winter hii baridi, tutakichukua temp ikipanda. Ila kesho bao tu.
Wenger tu? Hata wachezaji wenu kwa sasa vibonde mkuu. Leo tunawabamiza tu!Siku za Karibuni mfungaji magoli wa Chelsea ni Nicholas Anelka pekee hivyo tukiweza kumbana vizuri basi si ajabu tukawatundika nyumbani kwao 2 kwa nunge lakini pia inategemea ni timu ipi ambayo Wenger ataamua kuipanga maana naye haeleweki.
Chelseavs Arsenal![]()
![]()
The game is expected to kick off Sunday, November 30, 2008, 16:00
Who will make it?
![]()
LoL...Utabiri wangu, Arsenal 1 Chelsea 0.
Chelseavs Arsenal![]()
![]()
The game is expected to kick off Sunday, November 30, 2008, 16:00
Who will make it?
![]()