Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Joe Cole (dk 7), Anelka (dk 19, 67), Lampard (dk 56), Sylvester (OG, dk 89)

5 Bila!!!!!!!!!!!!
 
tunashinda. period.

Mpira unadunda kaka....... ungekuwa sahihi ungesema 'tuna nafasi kubwa ya kushinda' hakuna 100%-ama ndio mambo ya Yahya Hussein?
Yoyote anaweza kushinda, tusubiri iyo kesho mkuu.
Sasa na mimi Yahya Hussein yangu ni hii, mechi kwisha 1-1, mfungaji wa Arsenal ni Carlos Vela (a subsitute for Bendtner) Terry kwa bahati kubwa kuponea kadi nyekundu na penalti,baada ya faulu ya kijinga dhidi ya dogo Vela, amekuwa anampa taabu sana tokea aingie katika dakika ya 71 ya mchezo. Chelsea wamefurahi baada ya kipyenga cha dakika 90 maana mvua ilikuwa inawanyeshea si mchezo!!
 
Kwa mara ya kwanza naandika katika forum hii. Ukweli ni kuwa mpira unadunda in 90mins. Hakika lolote linaweza tokea ila tuangalie historia. Sisi the gunners tuna nafasi kubwa ya ushindi ukizingatia tunataka kupunguza gap liwe points 7 na turudi kwenye mbio za ubingwa.

Qam - songea
 
Sisi hatusemi mengi. Chelsea tuchemshieni tu hicho kiti winter hii baridi, tutakichukua temp ikipanda. Ila kesho bao tu.
 
Nyie wote shelves zenu bado nyeupe sana. Mechi yenu ni kama vita ya panzi........!
 
Siku za Karibuni mfungaji magoli wa Chelsea ni Nicholas Anelka pekee hivyo tukiweza kumbana vizuri basi si ajabu tukawatundika nyumbani kwao 2 kwa nunge lakini pia inategemea ni timu ipi ambayo Wenger ataamua kuipanga maana naye haeleweki.
 
Nawatakieni droo njema🙂
Droo hakuna mkuu! Subiri uone...
Chelsea wataloa 1-0 tu kinawatosha.
Fidel, ukizingatia Chelsea wako nyumbani, kwa maandishi yako ya 1-0 unamaanisha Chelsea itaifunga Arsenal kwa magoli 1-0. Asante kwa ubashiri mzuri 🙂
Kwa mara ya kwanza naandika katika forum hii. Ukweli ni kuwa mpira unadunda in 90mins. Hakika lolote linaweza tokea ila tuangalie historia. Sisi the gunners tuna nafasi kubwa ya ushindi ukizingatia tunataka kupunguza gap liwe points 7 na turudi kwenye mbio za ubingwa.

Qam - songea
Karbu JF mkuu, Songea salama? Nafasi ya Ushindi haipo kwenu Arsenal, naomba game likiisha njoo hapa ulonge tena mkuu.
Sisi hatusemi mengi. Chelsea tuchemshieni tu hicho kiti winter hii baridi, tutakichukua temp ikipanda. Ila kesho bao tu.
Ha ha ha, Nzoka... Game likiisha mwite na GT hapa!

Siku za Karibuni mfungaji magoli wa Chelsea ni Nicholas Anelka pekee hivyo tukiweza kumbana vizuri basi si ajabu tukawatundika nyumbani kwao 2 kwa nunge lakini pia inategemea ni timu ipi ambayo Wenger ataamua kuipanga maana naye haeleweki.
Wenger tu? Hata wachezaji wenu kwa sasa vibonde mkuu. Leo tunawabamiza tu!
 
Chelsea
121749684916.gif
vs Arsenal
12174968471.gif


The game is expected to kick off Sunday, November 30, 2008, 16:00

Who will make it?

0,,10268%7E4713611,00.jpg

I think Chelsea are going to experince a back-breaking labor today. Arsenal watakuja km mbogo aliyejeruhiwa!

Mambo yote: "You'll Never Walk Alone"
 
Leo chelsea ni anatembezewa kichapo kwa kwenda mbele 2.Vijana wa wenger nawaaminia.
 
arsenal need a reality check,hence they need to lose this game.if against all odds they win,a false sense of dawn will linger and the resultant no new players during the january transfer window.the crux of the matter is arsenal need proven players who have performed on the big stage
 
Leo ni lazima kurudisha lost points na kuna dalili za Arsenal kushinda.

Arsenal leo wanaweza kuwa na Emmanuel Adebayor, Bacary Sagna (wote waliumia ankle) na Samir Nasri (goti)

Abou Diaby (tumbo),Kolo Toure (calf), Theo Walcott (shoulder) na Emmanuel Eboue (knee) hawatacheza.

Chelsea hawana Didier Drogba ambae amefungiwa,Joe Cole aliumia ankle walipocheza na Bordeaux.

Juliano Belletti (ankle), Michael Essien (knee), Ricardo Carvalho (knee) na Franco di Santo (hamstring) wote nje na ni Alex tu ndie anatarajiwa kucheza baada ya kuumia musuli.

gun__1214905938_ground_chelsea.jpg
Uwanja wa Stamford Bridge ambao upo kilomita 13 kutoka uwanja wa Emirates kaskazini ya jiji la London.

Chelsea: Cech, Cudicini, Hilario, Bosingwa, Ferreira, Alex, Terry, Ivanovic, Bridge, A Cole, Lampard, Deco, Ballack, Obi, Kalou, Malouda, Anelka, Sinclair, Stoch, J Cole.

Arsenal: Almunia, Sagna, Silvestre, Gallas, Clichy, Nasri, Denilson, Fabregas, Vela, van Persie, Adebayor, Fabianski, Song, Djourou, Ramsey, Bendtner, Gibbs, Hoyte, Wilshere.

Utabiri wangu, Arsenal 1 Chelsea 0.
 
Nyie jipeni moyo matokeo leo ni Chelsea 3 - Arsenal 1, Chelsea wanafunga mziki mkubwa watoto wa shule Arsenal lazima watafutane.

Mashabiki wa Arsenal tunajua mko wengi lakini hamkawii kupoteana kama Man city walivyowatafuna last week, mlikuwa wadogo sasa mnaaza tena na leo.
 
Naona leo mna kibarua kigumu The blues,nina mtu hapa hata chakula hakipandi
 
Utabiri wangu, Arsenal 1 Chelsea 0.
LoL...

Man U wenyewe wanajua kuwa leo ni kimeo kwao... Man City watawabugiza. Leo naona kina Icadon hawataki kugusia mechi yao na watani wao wa jadi.

Big matches I may say!
 
Back
Top Bottom