Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

nimeuma mnoooo!!! mungu ibariki chelsea mungu nibariki mimi
 
mwee basi tutoke hata draw..mbona ksho watanitania sana kazini
 
mhhh nasikia kelele nini tena Chelsea wamesawazisha au tumepigwa la pili
 
mhhh nasikia kelele nini tena Chelsea wamesawazisha au tumepigwa la pili
Kweli una pressure mpwa... Bado bana!

Tunawashambulia tu, tutawafunga nshapata imani hiyo. Tukifungwa naugua siku mbili 🙂
 
wakuu kama mna nafasi jiungeni na jamiiforum fantasy league.si mnajua fantasy inachangamsha league.naona 1-1.
 
Back
Top Bottom