Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Teh teh teh

Nshaanza kupata moyo kuwa ushindi ni wetu tena tunawabamiza 2 - 1
 
Masanilo njoo tunywe tusker sasa huku tunatazama mpira..mi sitazami hii mechi nasikia kelele tu huko nje.Mwee man u watachonga sana wakishinda hii mechi
 
Masanilo njoo tunywe tusker sasa huku tunatazama mpira..mi sitazami hii mechi nasikia kelele tu huko nje.Mwee man u watachonga sana wakishinda hii mechi

mhhh mimi nikinywa Tusker nalewa huku chini....itakuwa shida kwa mashori! Go Chelsea Go!
 
Football is a very beautiful game!!!! Lovely Sundays once again
 
Football is a very beautiful game!!!! Lovely Sundays once again

ni kweli lakini ni mchezo katili sana..sitasahau maisha yangu yote maumivu niliyopata siku chelsea imetolewa kwenye UEFA champions league na baca
 
Back
Top Bottom