IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Sasa we dogo kwahiyo kama hatuutaki ubingwa kama timu haifanyi vizuri wasiseme? Hii ni timu yetu katika mbio za kumaliza nafasi 12 za juu lazima tujidhatiti kufanya vizuri zaidi.Habari zenu, mko poa? Kwa nini mnalalama wakati mlisema hamtaki ubingwa hata table baadhi ya wachezaji wenu hawaangalii msimamo? Punguzeni ku jam maana mmeshasema nyie mpo mpo tu kwenye ligi hamna malengo yoyote. Wachangamsha ligi fc, nawatakiwa sikukuu njema.
Msijali mtafanya vizuriSasa we dogo kwahiyo kama hatuutaki ubingwa kama timu haifanyi vizuri wasiseme? Hii ni timu yetu katika mbio za kumaliza nafasi 12 za juu lazima tujidhatiti kufanya vizuri zaidi.
Vijana wadogo unapateje injury kijinga hivyo?Lavia
Fofana
James
Basi inatosha kuna maisha mengine nje THE BLUES
Hii pia ni moja ya utapeli tuliofanyiwa. Southamton na Lecester mungu anawaona.Lavia
Fofana
James
Basi inatosha kuna maisha mengine nje THE BLUES
Wewe umesahau utapeli uliowafanyia nyumbu kwa Mount, Madrid kwa Hazard .Hii pia ni moja ya utapeli tuliofanyiwa. Southamton na Lecester mungu anawaona.
Halafu unatakaga uongezewe hela 😂😂😂 malipo ni hapa hapa duniani.Wewe umesahau utapeli uliowafanyia nyumbu kwa Mount, Madrid kwa Hazard .
Nilishasema hapa hatuwezi Archieve chochote tukiwa na jackon, niliwaambia kuna mechi zitaamuliwa na chances chache mbili au tatu, sasa huyo jackson anayehitaji chance 4 afunge moja, sifa yake kuu ni kupress na kukaba. Eti ndio sifa ya striker hiyo!!!Mechi ya Everton ni upuuzi wa Jackson ,chance tatu za kufunga ,akaishia kutikisa makalio tu
CB sawa ila kwenye DM tunaye Santos, tukatize mkopo wake tu.January tufanye usajili wa:-
1. CB - Kiongozi
2. DM - Mbadala wa Lavia
3. RB - Mbadala wa James
Sanchez liendelee kudaka hakuna namna.
Asheampong bado mchanga hawezi mziki wa EPL. Gusto akiumia mbadala wake ndio kituko Disasi.CB sawa ila kwenye DM tunaye Santos, tukatize mkopo wake tu.
Kama Nkunku ataondoka nashauri tumsajili striker
Mbadala wa James sio muhimu kwa January labda Kiangazi kulingana na uhalisia na maendeleo ya Asheampong
Tukiwa na Lavia au Santos Caicedo ni FB mzuri kuliko hata kwenye DM kwa sababu anaweza kucheza RB na kuinvent kwenye CMAsheampong bado mchanga hawezi mziki wa EPL. Gusto akiumia mbadala wake ndio kituko Disasi.
Natamani sana mzunguko wa pili injury sizituathiri kwa kukosa mbadala sahihi wa mchezaji ili kuendelea kupata matokeo chanyaTukiwa na Lavia au Santos Caicedo ni FB mzuri kuliko hata kwenye DM kwa sababu anaweza kucheza RB na kuinvent kwenye CM
Tukimpata RB mzuri ni added advantage ila sidhani kama wamiliki watafanya manunuzi makubwa January labda kama tutauza akina Nkunku, Felix, Casadei, Carney, Disasi kwa bei nzuri