Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Habari zenu, mko poa? Kwa nini mnalalama wakati mlisema hamtaki ubingwa hata table baadhi ya wachezaji wenu hawaangalii msimamo? Punguzeni ku jam maana mmeshasema nyie mpo mpo tu kwenye ligi hamna malengo yoyote. Wachangamsha ligi fc, nawatakiwa sikukuu njema.
 
Sasa we dogo kwahiyo kama hatuutaki ubingwa kama timu haifanyi vizuri wasiseme? Hii ni timu yetu katika mbio za kumaliza nafasi 12 za juu lazima tujidhatiti kufanya vizuri zaidi.
 
Mechi ya Everton ni upuuzi wa Jackson kwenye kuclear chances ,chance tatu za kufunga Jackson alipata ,akaishia kutikisa makalio tu kmamae , kuna points za kudrop ila sio hizi kama hivi kipuuzi puuzi dhidi ya Everton .
Sidhani kama Palmer angekosa zile chance zote kama angekuwa yeye dhidi ya Pickford .
 
Mechi ya Everton ni upuuzi wa Jackson ,chance tatu za kufunga ,akaishia kutikisa makalio tu
Nilishasema hapa hatuwezi Archieve chochote tukiwa na jackon, niliwaambia kuna mechi zitaamuliwa na chances chache mbili au tatu, sasa huyo jackson anayehitaji chance 4 afunge moja, sifa yake kuu ni kupress na kukaba. Eti ndio sifa ya striker hiyo!!!

Ngoja na makocha wengine wachukue desa kw Everton.
 
Krismasi Njema, The Blues!

Katika uteuzi wake, nilijizuia kumhukumu Maresca hadi Desemba. Hata hivyo, hakuna hukumu nitakayotoa hadi leo, bali ni sifa tu na pongezi kwa kazi bora aliyoifanya hadi sasa. Timu inaonekana kuwa thabiti zaidi kuliko tulivyotarajia. Ikiwa Arsenal wataendelea kuwa Arsenal na Liverpool wakiyumba, tuna uhakika wa kushinda taji la ligi, hata kama halikuwa lengo letu la msingi tangu mwanzo wa msimu.

Kuwa na sikukuu ya Krismasi njema!
Mery Christmas.png
 
January tufanye usajili wa:-

1. CB - Kiongozi
2. DM - Mbadala wa Lavia
3. RB - Mbadala wa James

Sanchez liendelee kudaka hakuna namna.
 
January tufanye usajili wa:-

1. CB - Kiongozi
2. DM - Mbadala wa Lavia
3. RB - Mbadala wa James

Sanchez liendelee kudaka hakuna namna.
CB sawa ila kwenye DM tunaye Santos, tukatize mkopo wake tu.
Kama Nkunku ataondoka nashauri tumsajili striker
Mbadala wa James sio muhimu kwa January labda Kiangazi kulingana na uhalisia na maendeleo ya Asheampong
 
Asheampong bado mchanga hawezi mziki wa EPL. Gusto akiumia mbadala wake ndio kituko Disasi.
 
Asheampong bado mchanga hawezi mziki wa EPL. Gusto akiumia mbadala wake ndio kituko Disasi.
Tukiwa na Lavia au Santos Caicedo ni FB mzuri kuliko hata kwenye DM kwa sababu anaweza kucheza RB na kuinvent kwenye CM
Tukimpata RB mzuri ni added advantage ila sidhani kama wamiliki watafanya manunuzi makubwa January labda kama tutauza akina Nkunku, Felix, Casadei, Carney, Disasi kwa bei nzuri
 
Natamani sana mzunguko wa pili injury sizituathiri kwa kukosa mbadala sahihi wa mchezaji ili kuendelea kupata matokeo chanya
 
Back
Top Bottom