Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 944
- 1,682
Ndgu yangu Chash money, kumbuka hii ni derby na derby huwa zinafuata historiaWazee leo tuna mechi ngumu sana vs FULHAM.
Nilikuwa naangalia stats za Fulham mwezi Nov & Dec amecheza Mechi 8.
Win - 3
Draw - 4
Lose - 1
Katika hizo DRAW ametoa na Arsenal, Liverpool, Totte...)
Amepoteza mechi 1 dhidi ya WOLVES.
Ametoa clean sheet 2.
Kama Everton walitusumbua, tutegemee Fulham watatukera.
Bahati nzuri wanaruhusu magoli, upande wetu kufunga magoli sio tatizo bali tunapata changamoto kubwa kwenye kuzifunga team ambazo zinakaba mtu na mtu na zinazorudi haraka nyuma kujilinda.
Kazi kwake Kocha kuja na approach ambayo tutawazidi Fulham kwa kila kitu uwanjani ili tupate point 3 muhimu.
Ndgu yangu Chash money, kumbuka hii ni derby na derby huwa zinafuata historia
Chelsea wanapokutana na Derby na Fulam huwa ni ushindi tu. Leo Chelsea wako full nondo na nawaona Fulam wakijihami zaidi kuliko kucheza mchezo wao
-------------Jackson-----------------
Neto ----------Palmer----------Sancho
----Enzo----------------Caicedo-----
Cucurella ----Colwill----Tosin----Gusto
--------------Sanchez --------------
Everton watata sana hawaruhusu magoli kabisa ndio hatari yao hiyo alikuwa na sare za nyau nyau nyingi sana kabla yetu.Wazee leo tuna mechi ngumu sana vs FULHAM.
Nilikuwa naangalia stats za Fulham mwezi Nov & Dec amecheza Mechi 8.
Win - 3
Draw - 4
Lose - 1
Katika hizo DRAW ametoa na Arsenal, Liverpool, Totte...)
Amepoteza mechi 1 dhidi ya WOLVES.
Ametoa clean sheet 2.
Kama Everton walitusumbua, tutegemee Fulham watatukera.
Bahati nzuri wanaruhusu magoli, upande wetu kufunga magoli sio tatizo bali tunapata changamoto kubwa kwenye kuzifunga team ambazo zinakaba mtu na mtu na zinazorudi haraka nyuma kujilinda.
Kazi kwake Kocha kuja na approach ambayo tutawazidi Fulham kwa kila kitu uwanjani ili tupate point 3 muhimu.
Goli nzuri sana katika mkusanyiko wa mabeki alifanikiwa kutafvuta bnafasi finyu akafanya mambo yake. Leo Palmer anaomba mipira sana na akipewa anatendea haki, hilo goli ni moja wapo ya mipira aliyoomba akapewa na kufungaChelsea 1 fulham 0
Palmer score
Goli zuri sana sikutegemea kama litaingia kwa ile nafasiGoli nzuri sana katika mkusanyiko wa mabeki alifanikiwa kutafvuta bnafasi finyu akafanya mambo yake. Leo Palmer anaomba mipira sana na akipewa anatendea haki, hilo goli ni moja wapo ya mipira aliyoomba akapewa na kufunga
Uko sahihi sancho nae anategea sana kapoteaTimu inacheza kama wamevimbewa ubwabwa wa Christmas
Upande wa Gusto,Neto na Enzo unakabia macho tukiendekeza uzembe kama huu kipindi cha pili hatutoboi
Tusisahau pia Fulam wazuri sana kwenye kupress na kukimbia uwanjani, wako kila mahali. Ni gamu gumu hili ila najua tutashindaUko sahihi sancho nae anategea sana kapotea