Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwanza mie nikili tu kocha nae anazingua sana ndio maaana kuna wakati tunasema uwezo wake kma wa arteta ww hata mie nilie sijasoma ukocha nilipoona kikosi tu nikasema hapa tunafungwa na kweli tumewkwa
Halafu alie masjili Disasi aliona nni kwani
Makosa ya wazi sana watu mpira haifiki mbele na Chelsea tukicheza na timu zinazo kaba na kuziba njia hatufanyi lolote
 
Una james nje na gusto unaenda kuanzisha Disasi pembeni.


Mbele kule umejaza namba kumi watatu

Palmer, felix na nkunku.


Nikaangalia kikosi nikasema hapa sijui..! dkk kumi tu za mwanzo nikajua hapa hatushindi.

Yaani ni kama kocha kafanya kusudi kabisa tupoteze.
 
πŸ—£ Enzo Maresca: "For the players coming into the team tonight, it’s a chance for them [to stake a claim]. For Noni, for Joao, for Christo it represents a chance."
 
Mkuu Ipswich town kwa matokeo ya nje ya uwanja ilikuwa mechi nyepesi sana hiyo, ndio maana kapanga hicho kikosi.angekuwa anacheza na Liverpool asingepanga hivyo.

Wachezaji wenu wanatembea sana uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…