Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu Ipswich town kwa matokeo ya nje ya uwanja ilikuwa mechi nyepesi sana hiyo, ndio maana kapanga hicho kikosi.angekuwa anacheza na Liverpool asingepanga hivyo.

Wachezaji wenu wanatembea sana uwanjani.
Tumeshapoteza point 4 kwenye match mbili zilizopita hii sababu yako ya kitoto mno.. Ilikuwa ni match ya kuja full mkoko kupata point bila kujali udhaifu wa mpinzani.
 
Kuna siku nilisema sanchez mzuri sana kuliko hiko kitoto kma tunaingia kwenye conference kweli
Mkuu embu tulia na kunywa maji, Sanchez angekuwepo unafikiri kuna kitu cha maana kingebadilika?
Timu zimeshajifunza namna ya kucheza na sisi haswa ukizingatia mawinga tulionao sio wafungaji na pili tukishapoteza mpira opponent wanaatack eneo la full backs walioingia katikati kushambulia na kufanya madhara
Kuna muda ratiba ilitubeba na ukizingatia tunacheza conference league hivyo angalau key players walikuwa wanapata muda wa kupumzika sasa zilivyoanza back to back mechi ndio class na form zimejitenga
Mwisho tulio kataa kwamba hii timu sio title contender tuliangalia zaidi uwezo wa kujilinda ambao ni mdhaifu mno haswa pale tunapopoteza mpira unakutana na beki line zisizokuwa na uwezo wa kunusa hatari na kufanya maamuzi ya haraka ni Caseido na Cucurella pekee wenye uwezo wa kukaba wengine ni wakabia macho

Hivyo basi uwezo halisi wa hii timu ndio huu na wala Usitarajie makubwa kisa mfululizo wa kushinda vimechi kadhaa hapo nyuma
 
MAGAZIJUTO
ipswichtown-20241231-0001.jpg
 
Ollachugaaa tunakuhitaji usilete mchezo usiwaachie wenzako wakati mgumu wenyewe team ni ya wote.
 
Back
Top Bottom