Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

“Mum said it’s my turn on the PlayStation now”
FB_IMG_17357169261477320.jpg
 
Vina muda bhasiii🤣🤣🤣🤣 Ila man..chelsea na arsenal hizi timu zimejaa utapeli sanaa.
 
Dah Arse8 tulikuwa tumemuacha points kadhaa, baada ya mechi 3 yeye ndio anatutimulia vumbi.

Kweli ukubwa wa kikosi sio kushinda mechi. Hakuna haja ya kusajili tena January tunazingua
Chelsea tuna shida Mahalia, tunarundika tu wachezaji tena wenye uwezo mkubwa lakini tunapata poit moja au tatu kwa tabu sana
 
tatizo mla Chelsea sio wachezaji
Kuna shida kwenye management ya wachezaji na uchezaji
Kuanzia mechi ya Everton Chelsea imeua ile transition yao ambayo iliwafanya kuwa moto wa kuotea mbali EPL
Sasa kilichobaki ni sideways na back passes. Mabeki wanapasiana wenyewe kwa wenyewe
Winga wetu form imeshuka ghafla sijui kwa nini
Mchezaji kama Disasi hana akili ya mpira kabisa, wewe unampasia Neto au Madueke mpira halafu unamuacha apambnane kifyake badala ya kumpatia support ya karibu. Winga zimekufa puu na uwezo wa midfield kufanya transition passes haipo tena. Hiyo ndio ilikuwa siri ya urembo kwa kufunga magoli na kushinda kwetu kila mechi.
Tutamlaumu Nkunku na Jackson bure kabisa ila shida sio yao. Kama wanamisi mipira hata worl class striker anayefunga mabao mengi anamiss magoli.
Bado nasisitiza kocha afanyie kazi mapungufu ya kitaalamu inayofanya timu ishindwe kufanya transition na mawinga wetu washtuliwe ili wacheze kama inavyotakiwa kwa sababu Neto mzuri, Madueke mzuri na Sancho ni mzuri
Kocha p[ia anaweza kujaribu kumchezesha Nkunku na. 10 halafu Palmer acheze RW kama alivyokuwa kwa Pochettino na ilifanya kazi vizuri sana
Kuna mda Maresca ni kama haishi na maneno yake, sio mara moja au mara mbili ashasema Felix,Palmer,Madueke,Nkunku hawawezi kuanza pamoja kwa sababu wote sio wakabaji

Kingine nikuendelea kujitoa akili kukchezesha Disas kama right back wakat una Achaempong ambae ni rb halis

Katika game 3 zilizopita Maresca amezingua maana hata ukiangalia sub zake nizakuchelewa na si kama hapo mwanzo unakuta mchezaj ashazingua tangu first half ila unakuta 2nd half bado anaendelea

Game ya Fulham-Sancho game ilikuwa ishamkataa ila Neto ndie aliyetolewa na Sancho akamaliza dakika 90

Game ya Ipswich disasi game ishamkataa ila kaja kutolewa dakika ya 77 huko
 
Sasa Mkuu tulimsifia hapa Maresca kwamba ni kocha bora kwenye management ya wachezaji kuliko Pochetino.

Leo Kule kujiamini kwa wachezaji kumeshuka, penetration vertical pass hakuna, ule ujinga kwa wachezaji kujirundika sehemu moja umerudi.

nini kimemkumba Maresca ameshindwa kuwasimamia wachezaji wanacheza kama vipofu?
Bado Maresca ni mzuri kuliko Pochettino, tuonane Mei 25
 
Kuna mda Maresca ni kama haishi na maneno yake, sio mara moja au mara mbili ashasema Felix,Palmer,Madueke,Nkunku hawawezi kuanza pamoja kwa sababu wote sio wakabaji

Kingine nikuendelea kujitoa akili kukchezesha Disas kama right back wakat una Achaempong ambae ni rb halis

Katika game 3 zilizopita Maresca amezingua maana hata ukiangalia sub zake nizakuchelewa na si kama hapo mwanzo unakuta mchezaj ashazingua tangu first half ila unakuta 2nd half bado anaendelea

Game ya Fulham-Sancho game ilikuwa ishamkataa ila Neto ndie aliyetolewa na Sancho akamaliza dakika 90

Game ya Ipswich disasi game ishamkataa ila kaja kutolewa dakika ya 77 huko
Na wameshasema Disasi hatauzwa kwa sababu eti ni backup ya beki
Unamuacha Chalobah halafu unamuweka Disasi
 
H ya Ipswich imeniuma sana aisee
Wachezaji wengi wa Ipswich Town hawatapata nafasi Chelsea lakini wametufunga 2-0
Star wao Omar alikosa nafasi kabisa Chelsea ndie anatufunga
Kweli naamini kwenye mpira kuna uchawi
 
Dah Arse8 tulikuwa tumemuacha points kadhaa, baada ya mechi 3 yeye ndio anatutimulia vumbi.

Kweli ukubwa wa kikosi sio kushinda mechi. Hakuna haja ya kusajili tena January tunazingua
tulimuacha point 4 baada ya mechi 3 wametuacha point 4, hata kama hatuko kwenye title race, ila haya matokeo ya point 1 kwenye point 9 haikubaliki tena kwa timu kama Everton, Fulam na Ipswich Town
 
Fofana huenda akawanje kwa msim mzima (Akakosa mechi zote zilizosalia)
Kuna uwezekano Wesley Fofana akakaa tena msimu mzima nje ya uwanja
1) Wesley Fofana
2) Reece James
3) Romeo Lavia
Naona Chelsea ni wakarimu sana na wengine injury prone watatamani sana kuja Chelsea
Kumbe ndio maana Lavia aliikataa Liverkuku akakimbilia Chelsea

View attachment 3191526
 
Back
Top Bottom