Ya kale dhahabu
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 317
- 495
Tena sana hii geme kila nikiwaza nashindwa kuamini, ni bora tungefungwa hata na Aston Villa lakini sio hicho kitimu aiseeH ya Ipswich imeniuma sana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena sana hii geme kila nikiwaza nashindwa kuamini, ni bora tungefungwa hata na Aston Villa lakini sio hicho kitimu aiseeH ya Ipswich imeniuma sana aisee
Mbona ndo kuna kuchaaa.. Title race kwishaaa🤣🤣🤣H ya Ipswich imeniuma sana aisee
Hapo labda Morocambe walahiii.. Ila waliobaki wanawalaaa utamuu mchana kweupee..
Chelsea tuna shida Mahalia, tunarundika tu wachezaji tena wenye uwezo mkubwa lakini tunapata poit moja au tatu kwa tabu sanaDah Arse8 tulikuwa tumemuacha points kadhaa, baada ya mechi 3 yeye ndio anatutimulia vumbi.
Kweli ukubwa wa kikosi sio kushinda mechi. Hakuna haja ya kusajili tena January tunazingua
Kuna mda Maresca ni kama haishi na maneno yake, sio mara moja au mara mbili ashasema Felix,Palmer,Madueke,Nkunku hawawezi kuanza pamoja kwa sababu wote sio wakabajitatizo mla Chelsea sio wachezaji
Kuna shida kwenye management ya wachezaji na uchezaji
Kuanzia mechi ya Everton Chelsea imeua ile transition yao ambayo iliwafanya kuwa moto wa kuotea mbali EPL
Sasa kilichobaki ni sideways na back passes. Mabeki wanapasiana wenyewe kwa wenyewe
Winga wetu form imeshuka ghafla sijui kwa nini
Mchezaji kama Disasi hana akili ya mpira kabisa, wewe unampasia Neto au Madueke mpira halafu unamuacha apambnane kifyake badala ya kumpatia support ya karibu. Winga zimekufa puu na uwezo wa midfield kufanya transition passes haipo tena. Hiyo ndio ilikuwa siri ya urembo kwa kufunga magoli na kushinda kwetu kila mechi.
Tutamlaumu Nkunku na Jackson bure kabisa ila shida sio yao. Kama wanamisi mipira hata worl class striker anayefunga mabao mengi anamiss magoli.
Bado nasisitiza kocha afanyie kazi mapungufu ya kitaalamu inayofanya timu ishindwe kufanya transition na mawinga wetu washtuliwe ili wacheze kama inavyotakiwa kwa sababu Neto mzuri, Madueke mzuri na Sancho ni mzuri
Kocha p[ia anaweza kujaribu kumchezesha Nkunku na. 10 halafu Palmer acheze RW kama alivyokuwa kwa Pochettino na ilifanya kazi vizuri sana
Kwani mnalitaka Kombe?Upuuzi sana
Bado Maresca ni mzuri kuliko Pochettino, tuonane Mei 25Sasa Mkuu tulimsifia hapa Maresca kwamba ni kocha bora kwenye management ya wachezaji kuliko Pochetino.
Leo Kule kujiamini kwa wachezaji kumeshuka, penetration vertical pass hakuna, ule ujinga kwa wachezaji kujirundika sehemu moja umerudi.
nini kimemkumba Maresca ameshindwa kuwasimamia wachezaji wanacheza kama vipofu?
Hatutaki kombe lakini top 4 angalau, itakuwa aib u mwaka wa tatu mfululizo hatuchezi UEFAKwani mnalitaka Kombe?
Kazeni makalio mchukue ata conference
Na wameshasema Disasi hatauzwa kwa sababu eti ni backup ya bekiKuna mda Maresca ni kama haishi na maneno yake, sio mara moja au mara mbili ashasema Felix,Palmer,Madueke,Nkunku hawawezi kuanza pamoja kwa sababu wote sio wakabaji
Kingine nikuendelea kujitoa akili kukchezesha Disas kama right back wakat una Achaempong ambae ni rb halis
Katika game 3 zilizopita Maresca amezingua maana hata ukiangalia sub zake nizakuchelewa na si kama hapo mwanzo unakuta mchezaj ashazingua tangu first half ila unakuta 2nd half bado anaendelea
Game ya Fulham-Sancho game ilikuwa ishamkataa ila Neto ndie aliyetolewa na Sancho akamaliza dakika 90
Game ya Ipswich disasi game ishamkataa ila kaja kutolewa dakika ya 77 huko
Wachezaji wengi wa Ipswich Town hawatapata nafasi Chelsea lakini wametufunga 2-0H ya Ipswich imeniuma sana aisee
tulimuacha point 4 baada ya mechi 3 wametuacha point 4, hata kama hatuko kwenye title race, ila haya matokeo ya point 1 kwenye point 9 haikubaliki tena kwa timu kama Everton, Fulam na Ipswich TownDah Arse8 tulikuwa tumemuacha points kadhaa, baada ya mechi 3 yeye ndio anatutimulia vumbi.
Kweli ukubwa wa kikosi sio kushinda mechi. Hakuna haja ya kusajili tena January tunazingua
Chalobah ni bora kuliko DisasiNa wameshasema Disasi hatauzwa kwa sababu eti ni backup ya beki
Unamuacha Chalobah halafu unamuweka Disasi
Leicester walitupiga sana kwa huyu mchezaji msimu wa pili huu anakaa nje kula mshahara wa bure tuuhFofana huenda akawanje kwa msim mzima (Akakosa mechi zote zilizosalia)
Kuna uwezekano Wesley Fofana akakaa tena msimu mzima nje ya uwanjaFofana huenda akawanje kwa msim mzima (Akakosa mechi zote zilizosalia)
We jamaa unakula ugoro nini?....among top players top 10 epl mpk sasa huwezi kumuacha caicedoTafuteni kiungo wa kueleweka. Caicedo ni mchezaji mbovu
Sawa sawa nitaku rudia mwisho wa msimuWe jamaa unakula ugoro nini?....among top players top 10 epl mpk sasa huwezi kumuacha caicedo