Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una james nje na gusto unaenda kuanzisha Disasi pembeni.Kwanza mie nikili tu kocha nae anazingua sana ndio maaana kuna wakati tunasema uwezo wake kma wa arteta ww hata mie nilie sijasoma ukocha nilipoona kikosi tu nikasema hapa tunafungwa na kweli tumewkwa
Halafu alie masjili Disasi aliona nni kwani
Makosa ya wazi sana watu mpira haifiki mbele na Chelsea tukicheza na timu zinazo kaba na kuziba njia hatufanyi lolote
Mkuu Ipswich town kwa matokeo ya nje ya uwanja ilikuwa mechi nyepesi sana hiyo, ndio maana kapanga hicho kikosi.angekuwa anacheza na Liverpool asingepanga hivyo.Una james nje na gusto unaenda kuanzisha Disasi pembeni.
Mbele kule umejaza namba kumi watatu
Palmer, felix na nkunku.
Nikaangalia kikosi nikasema hapa sijui..! dkk kumi tu za mwanzo nikajua hapa hatushindi.
Yaani ni kama kocha kafanya kusudi kabisa tupoteze.