Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sijakataa nimeongezea tu
Mfano kipa anaweza akawa mzuri sana kwenye kustop mashuti kweli kweli lakini pale timu inamtegemea aibebe anaiangusha, save moja ya kipa huyu inaweza kuwa bora sana kuliko save 5 za kipa yule

Kwa upande mwingine kuna mchezaji anan kuwa best kwenye mfumno mzuri na anakuwa worst kwenye mfumo mbovu na kuna wachezaji iwe mfumo ni mbovu au mzuri wao ni top muda wote

Mimi ningetolea mfano wa Kante, yeye alikuwa hategemei anacheza na nani, akina Jorginho walionekana wazuri kwa sababu8 Kante aliwabeba
 
Tuna wakuregenz wa michezo wa hovyo sana ni kama kuna mda hawajui walifanyalo.
 
Chelsea wamejadili nia ya kumnunua Marc Guehi kutoka Crystal Palace na pia wamejadili kukatiza mkopo wa Trevoh Chalobah. Msimu uliopita Palace walitaka paun i mil 70 kwa Guehi. Sasa miezi sita imeshapita na amebakiwa na miezi 18 kwenye mkataba wake. Chelsea wakitaka kumnunua kuna sell clause ya mil 20 kwa hiyo kuna uwezekan o Chelsea wakampata Guehi kwa mil 40 bila Swap deal na Chalobah
 
Toka mechi ya Everton kiongozi...Sancho alishakata moto Ila analazimishwa kuendelea
 
Timu inamtegemea sancho, madueke , palmer na Jackson eti ibebe EPL , mmelogwa ? Mtalima sana lami na hakuna hata kikombe cha chai
 
Dirisha dogo ili la usajili ungependa tajiri miluzi asajili mshambuliaji gani kati ya isak au Gyokeres ambaye anaweza kuendana na mfumo wetu
 
Dirisha dogo ili la usajili ungependa tajiri miluzi asajili mshambuliaji gani kati ya isak au Gyokeres ambaye anaweza kuendana na mfumo wetu
Tunacheza conference league, isitoshe ni katikati ya msimu ni ngumu kuvutia quality player
Mchezaji wa £60mil ukija na shida zako utaambiwa £90 hivyo usitegemee kupata proven quality player
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…