Mbona liver nae ametoa sare, ni kawaida tu kwenye mechi, huwezi shinda zoteBado tunapumulia machine ya oxygen
Labda unachotaka kumaanisha Niko acheze double striker. Yan wacheze wawili lakini kwa hiki unacho andika hapa kwamba Jackson acheze nafasi za kina Sancho na Madueke ndio tutampoteza kabisa, huku hataweza.Angecheza kwenye nafasi isiyokuwa na mzigo mkubwa wa kufunga ingefaa zaidi
Hii habari nimekutana nayo kwa Fabrizio hakika imenifurahisha sana. Unamtoa Chalobah unabaki na Disasi na BadiasheliBREAKING: Chelsea yakatisha mkopo wa Chalobah na kumrudisha kwenye kikosi cha kwanza
Hatimaye Maresca ameweka kando ubishi wake na kukubali kumrudisha Trevoh Chalobah, akiashiria uwezekano wa kuanza upya. Hata hivyo, lazima tubaki waangalifu. Hebu tuangalie je hii si njama tu ya kumleta Chalobah ili tu kumweka benchi akipendelea Acheampong au Tosin. Chalobah anastahili nafasi nzuri ya kuonyesha uwezo wake uwanjani, na ni muhimu kwamba Maresca amuunge mkono kweli katika ujio huu. Ahakikishe anampanafasi ili kunufaisha timu kwa ujumla.
-Fabrizio Romano
View attachment 3202526
Mechi tano droo 3 kufungwa mara 2, kwenye pts 15 tumeambulia 3 tu, je Liver nao wako hivyoMbona liver nae ametoa sare, ni kawaida tu kwenye mechi, huwezi shinda zote
LWLabda unachotaka kumaanisha Niko acheze double striker. Yan wacheze wawili lakini kwa hiki unacho andika hapa kwamba Jackson acheze nafasi za kina Sancho na Madueke ndio tutampoteza kabisa, huku hataweza.
Double striker kwa maana ya yule striker mwingine anakua ndio kama main anahusika kumtengenezea nafasi na ukicheza hivi maana yake unabadilisha hata mfumo wa uchezaji wa timu. Sasa ubadilishe mfumo wa uchezaji kwa ajili ya kumu accomodate mtu mmoja.
BREAKING: Chelsea yakatisha mkopo wa Chalobah na kumrudisha kwenye kikosi cha kwanza
Hatimaye Maresca ameweka kando ubishi wake na kukubali kumrudisha Trevoh Chalobah, akiashiria uwezekano wa kuanza upya. Hata hivyo, lazima tubaki waangalifu. Hebu tuangalie je hii si njama tu ya kumleta Chalobah ili tu kumweka benchi akipendelea Acheampong au Tosin. Chalobah anastahili nafasi nzuri ya kuonyesha uwezo wake uwanjani, na ni muhimu kwamba Maresca amuunge mkono kweli katika ujio huu. Ahakikishe anampanafasi ili kunufaisha timu kwa ujumla.
-Fabrizio Romano
View attachment 3202526
Hapana mkuu hapa ndio wengi mtamchukia sasa. Hawezi
Tuna SD wa hovyo sana
Nafasi pekee ambayo Jackson anaweza kuitumia uwezo wake wa kupress, kudisposes, kusprint na kuassists bila ya kumtwisha mzigo mkubwa wa kufunga magoli ni LW. Mbali na hapo ni kumuweka benchi kitu ambayo haiko kwenye plan ya kocha wala SD waliomsajiliHapana mkuu hapa ndio wengi mtamchukia sasa. Hawezi
Jackson anampita Isak uwanjani na Isak anampita Jackson kwenye finishing. Workrate ya Jackson ni kubwa sana uwanjani anachotuangusha ni pale kwenye kupeleka mpira wavuni tu. Hata positioning yake kama striker ni nzuri sana anachokosa ni akili ya kuweka wavuni mpira anarudia makosa yale yale ya mwaka jana. Mfano Madueke alimpia mpira mzuri sana uliotafunwa hadi ikalainika, badala ya kutega yeye akapiga kwa nguvu mpira ukapaa.Mchezaj pekee anaeweza cheza km Jackson na akawa finisher mzuri ni ISAK changamoto yake ni majeruhi tu.
Isak ni mchezaj anaekupa anachotoa Jackson na bado analijua goal vizuri.
Huyu Marcos Alonso kuna mchezo mchafu alikua anaufanya. Hata thiago! Ndio mana james miguu haina stamina.Reece James apongezwa na mameti wa zamani
View attachment 3202522
Chalobah pia bado ni mchezaji wa hovyo, sema tumeupgrade kidogo kutoka kwa kina Disas fc
Mkuu niambie unatania.Sijui kwanini watu wana mlaumu Jackson kwenye mpira wa jana, jackson ni bonge la striker kwa Epl ya sasa, jackson anakupa vitu vingi kuliko haaland, kuliko Sala kuliko kuliko Saka, kukosa nafasi hizo ni kawaida sanaa, Timu nzima elishindwa kumaliza match kwa first half, na bonimouth sio timu ya mchezo msimu hu elipiga Man United 3-0.
Na bado hamjasema,yaani mpaka msemeUkimwambia mtu kuwa tulikuwa nafasi ya pili na kusemwa tunagombania ubingwa na sasa tupo nafasi ya tano, huyo mtu hawezi kukuamini.