lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 17,951
- 23,705
BREAKING: Chelsea yakatisha mkopo wa Chalobah na kumrudisha kwenye kikosi cha kwanza
Hatimaye Maresca ameweka kando ubishi wake na kukubali kumrudisha Trevoh Chalobah, akiashiria uwezekano wa kuanza upya. Hata hivyo, lazima tubaki waangalifu. Hebu tuangalie je hii si njama tu ya kumleta Chalobah ili tu kumweka benchi akipendelea Acheampong au Tosin. Chalobah anastahili nafasi nzuri ya kuonyesha uwezo wake uwanjani, na ni muhimu kwamba Maresca amuunge mkono kweli katika ujio huu. Ahakikishe anampanafasi ili kunufaisha timu kwa ujumla.
-Fabrizio Romano