Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

BREAKING: Chelsea yakatisha mkopo wa Chalobah na kumrudisha kwenye kikosi cha kwanza
Hatimaye Maresca ameweka kando ubishi wake na kukubali kumrudisha Trevoh Chalobah, akiashiria uwezekano wa kuanza upya. Hata hivyo, lazima tubaki waangalifu. Hebu tuangalie je hii si njama tu ya kumleta Chalobah ili tu kumweka benchi akipendelea Acheampong au Tosin. Chalobah anastahili nafasi nzuri ya kuonyesha uwezo wake uwanjani, na ni muhimu kwamba Maresca amuunge mkono kweli katika ujio huu. Ahakikishe anampanafasi ili kunufaisha timu kwa ujumla.
-Fabrizio Romano
1736943968628.png
 
Angecheza kwenye nafasi isiyokuwa na mzigo mkubwa wa kufunga ingefaa zaidi
Labda unachotaka kumaanisha Niko acheze double striker. Yan wacheze wawili lakini kwa hiki unacho andika hapa kwamba Jackson acheze nafasi za kina Sancho na Madueke ndio tutampoteza kabisa, huku hataweza.

Double striker kwa maana ya yule striker mwingine anakua ndio kama main anahusika kumtengenezea nafasi na ukicheza hivi maana yake unabadilisha hata mfumo wa uchezaji wa timu. Sasa ubadilishe mfumo wa uchezaji kwa ajili ya kumu accomodate mtu mmoja.
 
BREAKING: Chelsea yakatisha mkopo wa Chalobah na kumrudisha kwenye kikosi cha kwanza
Hatimaye Maresca ameweka kando ubishi wake na kukubali kumrudisha Trevoh Chalobah, akiashiria uwezekano wa kuanza upya. Hata hivyo, lazima tubaki waangalifu. Hebu tuangalie je hii si njama tu ya kumleta Chalobah ili tu kumweka benchi akipendelea Acheampong au Tosin. Chalobah anastahili nafasi nzuri ya kuonyesha uwezo wake uwanjani, na ni muhimu kwamba Maresca amuunge mkono kweli katika ujio huu. Ahakikishe anampanafasi ili kunufaisha timu kwa ujumla.
-Fabrizio Romano
View attachment 3202526
Hii habari nimekutana nayo kwa Fabrizio hakika imenifurahisha sana. Unamtoa Chalobah unabaki na Disasi na Badiasheli
 
Labda unachotaka kumaanisha Niko acheze double striker. Yan wacheze wawili lakini kwa hiki unacho andika hapa kwamba Jackson acheze nafasi za kina Sancho na Madueke ndio tutampoteza kabisa, huku hataweza.

Double striker kwa maana ya yule striker mwingine anakua ndio kama main anahusika kumtengenezea nafasi na ukicheza hivi maana yake unabadilisha hata mfumo wa uchezaji wa timu. Sasa ubadilishe mfumo wa uchezaji kwa ajili ya kumu accomodate mtu mmoja.
LW
 
BREAKING: Chelsea yakatisha mkopo wa Chalobah na kumrudisha kwenye kikosi cha kwanza
Hatimaye Maresca ameweka kando ubishi wake na kukubali kumrudisha Trevoh Chalobah, akiashiria uwezekano wa kuanza upya. Hata hivyo, lazima tubaki waangalifu. Hebu tuangalie je hii si njama tu ya kumleta Chalobah ili tu kumweka benchi akipendelea Acheampong au Tosin. Chalobah anastahili nafasi nzuri ya kuonyesha uwezo wake uwanjani, na ni muhimu kwamba Maresca amuunge mkono kweli katika ujio huu. Ahakikishe anampanafasi ili kunufaisha timu kwa ujumla.
-Fabrizio Romano
View attachment 3202526
1736949322442.png
 
Mchezaj pekee anaeweza cheza km Jackson na akawa finisher mzuri ni ISAK changamoto yake ni majeruhi tu.

Isak ni mchezaj anaekupa anachotoa Jackson na bado analijua goal vizuri.
 
Enzo alimkataa chalobah Ila sasa hv ananyenyekewa kuitwa kisa kuna majeruhi wengi 😂 dah hii timu ishaanza kunichosha
 
Hapana mkuu hapa ndio wengi mtamchukia sasa. Hawezi
Nafasi pekee ambayo Jackson anaweza kuitumia uwezo wake wa kupress, kudisposes, kusprint na kuassists bila ya kumtwisha mzigo mkubwa wa kufunga magoli ni LW. Mbali na hapo ni kumuweka benchi kitu ambayo haiko kwenye plan ya kocha wala SD waliomsajili
 
Mchezaj pekee anaeweza cheza km Jackson na akawa finisher mzuri ni ISAK changamoto yake ni majeruhi tu.

Isak ni mchezaj anaekupa anachotoa Jackson na bado analijua goal vizuri.
Jackson anampita Isak uwanjani na Isak anampita Jackson kwenye finishing. Workrate ya Jackson ni kubwa sana uwanjani anachotuangusha ni pale kwenye kupeleka mpira wavuni tu. Hata positioning yake kama striker ni nzuri sana anachokosa ni akili ya kuweka wavuni mpira anarudia makosa yale yale ya mwaka jana. Mfano Madueke alimpia mpira mzuri sana uliotafunwa hadi ikalainika, badala ya kutega yeye akapiga kwa nguvu mpira ukapaa.

1736966957450.png
 
Sijui kwanini watu wana mlaumu Jackson kwenye mpira wa jana, jackson ni bonge la striker kwa Epl ya sasa, jackson anakupa vitu vingi kuliko haaland, kuliko Sala kuliko kuliko Saka, kukosa nafasi hizo ni kawaida sanaa, Timu nzima elishindwa kumaliza match kwa first half, na bonimouth sio timu ya mchezo msimu hu elipiga Man United 3-0.
Mkuu niambie unatania.
 
Back
Top Bottom