Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu aongezewe lisheTrevoh Chalobah ni "The Blues" wa damu wa kweli ataendelea kuwaumbua SD, Directors na wale wote waliomdhalilisha kuanzia preseason
View attachment 3208661
Ya mlenda vuguvugu?Ila Palmer anapiga nyeto sana wadau
Ndo miezi Yao hii ya kurudi nafasi ya 8🤣🤣🤣....tupo na maresca mpk awatoe top 10 kabisaKwa mara ya mwisho.
Mpo kwenye title race au hampo?
Huwa unamtetea sana sasa nakaa nakuangalia sana unavyotutapeliKipigo hiki cha Chelsea kimeletwa kwenu na Enzo Maresca
Huyu Petrovic mimi niliwahi kusema alifanya vizuri sana kipindi cha Poch, wewe ndio ukaja kumtetea Sanchez sijui na mambo ya footwork nzuri na vitu gani sijui. Lakini ni ukweli sasa tunakubaliana Sanchez bado hafai kuanza wakati tuna Petrovic aliye kwa mkopo na anafanya vizuri tu.Hivi Maresca haangaliagi hizi takwimu
View attachment 3214231
Tulishasema hatupo ila Tupo.Kwa mara ya mwisho.
Mpo kwenye title race au hampo?
Huyu hakufaa hata kusajiliwa. Inakuwaje unasajil gk no 2 wa brighton halaf aje kuwa gk no 1 wa team yetu.Chelsea wanafikiria kumuondoa kwenye ugolkipa namba 1 Robert Sanchez baada ya kufanya makosa iliyosababisha magoli hivi karibuni
Telegraph Football
@TeleFootball
View attachment 3214214
View attachment 3214222
Waliomsajil Sanchez hawapaswi kuwepo ndani ya hii club mpaka sasa. Makosa ya Sanchez hayajaanza leo hii tangu huko alipotokaHuyu Petrovic mimi niliwahi kusema alifanya vizuri sana kipindi cha Poch, wewe ndio ukaja kumtetea Sanchez sijui na mambo ya footwork nzuri na vitu gani sijui. Lakini ni ukweli sasa tunakubaliana Sanchez bado hafai kuanza wakati tuna Petrovic aliye kwa mkopo na anafanya vizuri tu.
Tunahitaj 3 wc playerNarudia tena sisi tutaendelea kuwa daraja kuwarudisha wengine kwenye chart. Tunahitaji wachezaji wenye mentality ya kiutu uzima kujua hii ni ligi gani na wanachezea timu gani. Kuhusu Jackson na Sanchez tutawalaumu bure lakini nilishasema hawa ni average player hawawezi kwenda zaidi ya hapo. Tunahitaji World Class goalkeeper na finisher wa kueleweka hawa average player wawe wasaidizi tu.
Huyu bila shaka alishakupakata. Haiwezekani kila mwenye utimamu anaona overwork anayofanya uwanjani ila wewe umemganda na masimango yasiyokuwa na ushahidi wa takwimuHuwezi kumaliza top four na middle ya caicedo
Cheki hapa katika ligi 5 bora ulaya kipa wetu ndio anaongoza kwa kufanya blunders. Na awewaacha mbali wenzakeTunahitaj 3 wc player
GK,CB na Finisher
Beki zetu zote hakuna kiongozi
Tunapoteza hela tu kurundika wtoto wakat hela hiyo hiyo ungesajil wachezaj wazuri
Unaacha kutoa 60M kwa Kvicha unaenda kutoa 60 kwa Garnacho
Unaacha kumlipa Osihmen hela nzuri unangangania Jackson na Gui
Hawa SD wetu ndio wametufanya kuwa MID TABLE TEAM