Hii timu ilianza kujipata lakini kocha na wachezaji wakalewa sifa vipigo vilipofululiza timu imeshapoteza kujiamini tena imerudi hatua kumi nyuma mechi ya mwisho timu ilicheza kwa kujiamini ilikuwa game na Brentford
Kocha kaleta mchezo wa kuwapunguzia pressure wachezaji ila outcome imekuja kuambatana na kupoteza morali
Kufungwa ni part ya mchezo ila kinachoniogopesha ni pale timu unapocheza vibaya na kocha anaona ni sawa can't imagine game ya Jana kocha anasema ilikuwa 50/50 kabla ya goli la pili wakati timu imecheza rubbish zaidi ya dakika 30 kwenye kipindi cha kwanza
Weakness kubwa ambayo kocha ameshindwa kabisa kuinject kwa wachezaji ni uwezo wa kupress na kuspot hatari wachezaji wanakabia macho wako laini laini ni Caseido tu anayeweza kufanya marking Seriously wakati swala la kukaba kwenye modern football ni collective
Kiburi cha kocha kuhusu golikipa sio hata cha kujadili including SD ,ogopa sana mchezaji aliyekuwa na namba akapoteza tena akiwa timu kama Brighton kwenye hili dhambi ya kwanza ni kwa waliomsajili
Kuna muda huwa nawaza hata ulaya pia kuna matapeli kwenye club kwa nini walimpatia kocha mkataba mrefu moja kwa moja ? Ilitakiwa kuwa miaka 2 then ukiridhika na project yake unampatia extension sasa mfano akifeli hiyo fidia madalali watalamba?