Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimpongeze Enzo Maresca baada ya kukubali kufuata ushuri wangu wa kutafuta kiungo wa kueleweka, maana caicedo mlipigwa. Niwatakie kila la heri katika utafutaji huo.
Caicedo was a scam deal, hakuna mchezaji mule.
 
We jamaa kwenye disco la reggae unacheza Sebene.
 
Tuna Viungo wazuri wako kwa mkopo strasbourg na Soton ila cha ajabu tunashindwa kumrudisha mmoja wapo tunangangania kutaka kusajil kiungo mwingine

Hii team wanaoiharib ni SD
 
Casadei to Torino
Chilwell to Palace
Chukwuemeka to Borussia Dortmund
 
Tuna Viungo wazuri wako kwa mkopo strasbourg na Soton ila cha ajabu tunashindwa kumrudisha mmoja wapo tunangangania kutaka kusajil kiungo mwingine

Hii team wanaoiharib ni SD
Tuna wamiliki na SDs wasiotumia akili kabisa
Timu isipofanya vizuri kwa kushinda makombe na kushiriki ligi kubwa hata kuuza wachezaji itakuwa biashara klichaa kwa sababu wachezaji wamesajiliwa wengi, vitoto na wengi wao hawapati nafasi ya kucheza kwa vile pia tuna kocha mfahidhina.
Itafika wakati wachezaji watashtuka kuja kwenye hili gereza la Chelsea
 
1738491066521.png
 
Lugha ya picha bila neno
Nilitegemea kusikia uza huyu bakiza huyu au nuza wote au bakiza wote
Hata hivyo Chelsea wamekataa ofa ya Aston Villa kwa Disasi kwa sababu eti wao ni competitors wetu kwenye UCL spot. Sasa Disasi akienda huko ataenda kuboresha nini?
 
Chelsea wamekataa ofa ya Aston Villa kwa Axel Disasi kwa sababu wanawaona kama washindani wao kwenye nafasi za Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL). Chelsea wanajua kwamba kumruhusu Disasi kujiunga na Aston Villa kutaimarisha timu hiyo na kuongeza ushindani kwa nafasi hizo muhimu.

Kwa mtazamo wa Chelsea, kumruhusu Disasi kujiunga na Aston Villa ni sawa na kuimarisha mpinzani wao mkuu, jambo ambalo halitakuwa na manufaa kwao katika mbio za kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Kwa hivyo, Chelsea wanapendelea kumtafutia Disasi timu nyingine ambayo haitakuwa tishio kwao katika mbio za UCL.
Sasa, swali linabaki, Disasi akienda huko ataenda kuboresha nini?
 
Borussia Dortmund wamekubali mkataba wa mkopo kwa Carney Chukwuemeka kutoka Chelsea,
Here we go!

Kipengele cha chaguo la kuhama na kununua kimejumuishwa kwa thamani ya juu kuliko release clause ya £40m.

Mshahara unaolipwa hadi Juni na ada ya mkopo pia imejumuishwa. Matibabu siku ya Jumatatu.

1738531618187.png

1738531629909.png
 
Borussia Dortmund wamekubali mkataba wa mkopo kwa Carney Chukwuemeka kutoka Chelsea,
Here we go!

Kipengele cha chaguo la kuhama na kununua kimejumuishwa kwa thamani ya juu kuliko release clause ya £40m.

Mshahara unaolipwa hadi Juni na ada ya mkopo pia imejumuishwa. Matibabu siku ya Jumatatu.

View attachment 3223016
View attachment 3223017
Maresca kazingua sana kutompa nafasi huyu bwana mdogo.

Ni swala mda tu
 
Hii ndio siku pekee tulikuwa tunaweza isambaratisha City ila Game setup ya Maresca na kukomalia wachezaj wanaomuangusha inatugharim
Narudia kusema game yetu na City ilikuwa ndio game pekee ya kuisambaratisha City ila Mareaca akajifanya mjuaji
 
Back
Top Bottom