Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Narudia tena sisi tutaendelea kuwa daraja kuwarudisha wengine kwenye chart. Tunahitaji wachezaji wenye mentality ya kiutu uzima kujua hii ni ligi gani na wanachezea timu gani. Kuhusu Jackson na Sanchez tutawalaumu bure lakini nilishasema hawa ni average player hawawezi kwenda zaidi ya hapo. Tunahitaji World Class goalkeeper na finisher wa kueleweka hawa average player wawe wasaidizi tu.
 
Hivi Maresca haangaliagi hizi takwimu
View attachment 3214231
Huyu Petrovic mimi niliwahi kusema alifanya vizuri sana kipindi cha Poch, wewe ndio ukaja kumtetea Sanchez sijui na mambo ya footwork nzuri na vitu gani sijui. Lakini ni ukweli sasa tunakubaliana Sanchez bado hafai kuanza wakati tuna Petrovic aliye kwa mkopo na anafanya vizuri tu.
 
Waliomsajil Sanchez hawapaswi kuwepo ndani ya hii club mpaka sasa. Makosa ya Sanchez hayajaanza leo hii tangu huko alipotoka
 
Tunahitaj 3 wc player
GK,CB na Finisher
Beki zetu zote hakuna kiongozi

Tunapoteza hela tu kurundika wtoto wakat hela hiyo hiyo ungesajil wachezaj wazuri
Unaacha kutoa 60M kwa Kvicha unaenda kutoa 60 kwa Garnacho

Unaacha kumlipa Osihmen hela nzuri unangangania Jackson na Gui

Hawa SD wetu ndio wametufanya kuwa MID TABLE TEAM
 
Nilipoasisi msemo wa taka taka nikala ban ila ukweli utaishi asilimia kubwa ya wachezaji wa cfc ni takataka
 
Cheki hapa katika ligi 5 bora ulaya kipa wetu ndio anaongoza kwa kufanya blunders. Na awewaacha mbali wenzake
 

Attachments

  • Screenshot_20250126_105139_Instagram.jpg
    132.3 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…