IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
We jamaa kwenye disco la reggae unacheza Sebene.Nimpongeze Enzo Maresca baada ya kukubali kufuata ushuri wangu wa kutafuta kiungo wa kueleweka, maana caicedo mlipigwa. Niwatakie kila la heri katika utafutaji huo.
Caicedo was a scam deal, hakuna mchezaji mule.
Mwezi mchanga huyo, kwan unaona kuna anaemjibu? ungemuacha tu.We jamaa kwenye disco la reggae unacheza Sebene.
Tuna wamiliki na SDs wasiotumia akili kabisaTuna Viungo wazuri wako kwa mkopo strasbourg na Soton ila cha ajabu tunashindwa kumrudisha mmoja wapo tunangangania kutaka kusajil kiungo mwingine
Hii team wanaoiharib ni SD
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅Sisi tulimuacha mkaingia mazimaHivi huyu LAVIA anaumiaga wapi , au anacheza ndondo za mtaani
Lugha ya picha bila neno
Nilitegemea kusikia uza huyu bakiza huyu au nuza wote au bakiza woteLugha ya picha bila neno
Chelsea wamekataa ofa ya Aston Villa kwa Axel Disasi kwa sababu wanawaona kama washindani wao kwenye nafasi za Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL). Chelsea wanajua kwamba kumruhusu Disasi kujiunga na Aston Villa kutaimarisha timu hiyo na kuongeza ushindani kwa nafasi hizo muhimu.
Maresca kazingua sana kutompa nafasi huyu bwana mdogo.Borussia Dortmund wamekubali mkataba wa mkopo kwa Carney Chukwuemeka kutoka Chelsea,
Here we go!
Kipengele cha chaguo la kuhama na kununua kimejumuishwa kwa thamani ya juu kuliko release clause ya £40m.
Mshahara unaolipwa hadi Juni na ada ya mkopo pia imejumuishwa. Matibabu siku ya Jumatatu.
View attachment 3223016
View attachment 3223017
Narudia kusema game yetu na City ilikuwa ndio game pekee ya kuisambaratisha City ila Mareaca akajifanya mjuajiHii ndio siku pekee tulikuwa tunaweza isambaratisha City ila Game setup ya Maresca na kukomalia wachezaj wanaomuangusha inatugharim
tusubiri mkuuLeo tunachomoka kweli mbele ya wahuni Westham ?
Tupo bize na kusajili makinda na kuuza wachezaji, faida nyamnyam.Leo tunachomoka kweli mbele ya wahuni Westham ?