Baada ya kushindwa hivi karibuni, kundi la wachezaji wakubwa wa Chelsea walianzisha mkutano wa timu huko Cobham.
Katika mkutano huo — kwa mujibu wa vyanzo vingi, maneno makali walibadilishana. Baadhi ya mambo muhimu yaliyotajwa yalikuwa kwamba viwango vya mafunzo vilihitaji kuboreshwa, wachezaji walihitajika kuwa makini zaidi na kushirikiana, na kwamba ubinafsi na ego binafsi lazima yawekwe pembeni kwa manufaa ya timu.
Source:
@liam_twomey &
@SJohnsonSport
Sasa tutashindaje kama hali sio nzuri kule dressing room?
Hatutaweza kushinda mechi za timu hizi labda huo mkutano waliokaa ulete manufaa
Brentford
Forest
Everton watatufunga na
Kwa ufupi
Leicester City - WIN
Arsenal - LOSE
Tottenham Hotspur - DRAW
Brentford - DRAW
Ipswich Town - WIN
Fulham - LOSE
Everton - LOSE
Liverpool - LOSE
Newcastle United - DRAW
Manchester United - DRAW
Nottingham Forest - LOSE
Jumla ya points 10/33
Jumla ya point msimu mzima 56
Nafasi ya 8
UECL tunaweza kushinda kama akiwekea maanani na kufaulu kwenda Europa kupitia huko