Asante kijanaAlhamisi ni UECL na Compenhagen
Jumapili tupo na Leicester City nyumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kijanaAlhamisi ni UECL na Compenhagen
Jumapili tupo na Leicester City nyumbani
Heshima kwa muzee sio kijanaAsante kijana
🤣🤣🤣THE BLUES ikicheza mashabiki wake duniani kote wanakasirika, wanasonya, wanalaumu kocha na wachezaji, wanazira kuendelea kuangalia mechi na mwisho wanajutia kupoteza usingizi wao kuangalia malupulapu.
Madrid walibeba makombe, THE BLUES tunakimbizana na conference Kombe la mfano.Chelsea’s squad at the end of the 2024 financial year was the costliest ever assembled, according to a new UEFA report.The big-spending Blues' squad was worth an astonishing £1.39bn, eclipsing the previous highest recorded by Real Madrid in 2020 (£1.12bn).
Enzo Maresca: "Kuanzia sasa na kuendelea, Ligi ya Conference yote na michezo yote ya Ligi Kuu ni muhimu, kwa hivyo tutachukua moja baada ya nyingine hadi mwisho na kujaribu kushinda michezo mingi iwezekanavyo."Copenhagen watatutoa darajani.
Zilongwa mbali zitendwa mbaliEnzo Maresca: "Kuanzia sasa na kuendelea, Ligi ya Conference yote na michezo yote ya Ligi Kuu ni muhimu, kwa hivyo tutachukua moja baada ya nyingine hadi mwisho na kujaribu kushinda michezo mingi iwezekanavyo."
THE BLUES ndio club inayoongoza duniani kwa kuuwa vipaji vya wachezaji. Mchezaji anakuja wa moto anaondoka wa baridi na kusindikizwa na matusi.
Tunaweza kuwa tunalaumu directors wanasajili wachezaji wa ovyo wakati THE BLUES moja ya utamaduni wake ni kuua vipajiHii picha inaukweli wowote?
Chelsea na Manu wamekuwa ndugu kwenye hiliTunaweza kuwa tunalaumu directors wanasajili wachezaji wa ovyo wakati THE BLUES moja ya utamaduni wake ni kuua vipaji
Bei inazidi kupanda tu, nafikri sasa imefikia mil 45
Umeshawasahau Nyumbu,THE BLUES ndio club inayoongoza duniani kwa kuuwa vipaji vya wachezaji. Mchezaji anakuja wa moto anaondoka wa baridi na kusindikizwa na matusi.
Disasi amekuwa chachu cha ushindi villa.