Safari bado ni ndefu uwezo wa Scolari ni mdogokwenye CL.... kumbuka mimi ni Chelsea damu damu....
Bora wewe umenena Mkuu...sioni future nzuri kwa Babu wenu Scolari, ila kwa game ya jana ndio utagundua the difference btn DROGBA the 'striker' na ANELKA the 'forward'.....!
AB, usisingizie pepa, mbona in the aftermath of kichapo kwa Ze Goonarz hukuonekana?..tehe tehe tehe tehe!
The Clock is still tickling, time will tell....msikimbie na nyie Ma-Mods msitufungie!
Si kisingizio mkuu, baada ya kipigo cha Gunnerz nilikuwepo
humu lakini kwa mnyato maana mngenizomea kweli.
Meanwhile hatukimbii humu mkuu hata tukifungwa na mwenzio
sioni how mpaka ifikapo hio siku.
Invii...upo?
Mkuu nyie sio nguvu za soda? Tusubiri tuone...
Invii akiona mambo mabaya anajifanya yupo around lakini busy π.
BTW: Hongereni kwa kujikakamua, ila naungana na Manda kwamba Big Phil hana muda mrefu nanyi.
Chelsea we need back Avran Grant for the home games....huyu Scolari simwelewi kumwacha Drogba Bench na kumchezesha Ballack amabaye kiwango chake kimeshuka sana..tunashindwa wafunga hata Westham....nasubiri kutolewa CL kama mambo ni haya...
...π, ilikuwaje kwani Ushirombo? mbona na mapeeeema hivyo? Drogba si bado ana 3match ban? BTW, si Liverpool, ManU, wala Arsenal aliyeambulia pointi zote tatu wikiendi hii,...calm down
ha haha,....
Jukwaa lenu lilivyo poa ni ishara kuwa KIAMA kimeshawadia, mnajua kweli DROO ya last 16 CL imeshachezwa?
Inaniuma sana kuona ndugu zangu wa Darajani mnatoka Troophless tena msimu huu.., can't wait kuona Ranieri anavyo wanyoa bila maji!
Jukwaa lenu lilivyo poa ni ishara kuwa KIAMA kimeshawadia, mnajua kweli DROO ya last 16 CL imeshachezwa?
Inaniuma sana kuona ndugu zangu wa Darajani mnatoka Troophless tena msimu huu.., can't wait kuona Ranieri anavyo wanyoa bila maji!
Simba mwenda pole atakuwa anaiogopa yanga au anaumwa.Manda,
wewe na mwenzio naona mnaleta vitisho humu ndani.
Msione eti tumekimya mkadhani ni mshtuko au uoga..simba
mwenda pole ndiye nla nyama....
Simba mwenda pole atakuwa anaiogopa yanga au anaumwa.
Hahahaha..mzalendo mwengine huyooo!
Haya basi usimuone simba kanyeshewa ukadhani paka!