Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa wewe ungesema? Wacha wakae kimya ndugu yangu....halafu mimi hawa jamaa wa jukwaa hili nawashangaa wamekuwa kimyaaaaaaaaaaaaaa utadhani wamemwagaiwa maji baridi, ni nini hasa?
Spurs 1- 0 Chelsea
...na kuteleza sio kuanguka!
Ingekuwa wewe ungesema? Wacha wakae kimya ndugu yangu.
Si unakumbuka ile hadithi ya jamaa fulani vita iliingia nchini kwao akajificha, baada ya maadui kuangamiza watu yeye akiwa mafichoni akasema HERI YANGU SIJASEMA wakamsikia wakammaliza. So ni heri hawa jamaa wa jukwaa hili wasiseme wasije wakaangamizwa! haha haaaaaaaaaaaa!
...mnh, nakweli! wanachangia post nyingine
...wakipita hapa wanafunga macho, 😀😀😀
For sure may be am Nervous, u can just imagine the above deleted msg nimekuja Post msg ya Manutd ndani ya jukwaa lenu.
BTW; I was glad to see you guyz get beaten, coz mimi nawaogopa nyie mara kumi zaidi ya Liverpool, coz for them am sure they will TUMBLE ila sio nyie bwana!, mnakuwaga na spirit flani ya ajabu sana!
Haya Anelka is out for three weeks.
...halafu mimi hawa jamaa wa jukwaa hili nawashangaa wamekuwa kimyaaaaaaaaaaaaaa utadhani wamemwagaiwa maji baridi, ni nini hasa?
Spurs 1- 0 Chelsea
...na kuteleza sio kuanguka!
mbu,
kila siku napitia hapa na nakuona unaleta kejeli na stihizai zako
dhidi ya Ze Bluzz na mashabiki wake.Kumbuka jua linamulika kila
mtu na ole wenu wakati wa mwenzio ukifika.
Meanwhile bado tupo gado!
Tunajua wapinzani tunao wengi; bado tupo ulingoni tunaendeleza mapambano ya kusaka vikombe.
Hakuna timu isiyopendwa kama ZE BLUZZ, kila cku najiuliza YYYYYY???? Kila cku wa2 wanaombea tufungwe tuuu, kipindi kile tulivyoboronga mechi 6 viroho vilikuwa kwatuuu; but tulipoanza kushinda .... oohh nguvu ya cocacola hiyooo.
Kupoteza mechi moja si kupoteza mechi zote; mapambano ndio yameanza!!!!
...😀 sawa kakaa, bila kuwachokoza ushabiki haunogi, BTW hilo neno stihizai nimelisikia zamaaaaani unguja, kiswahili cha pwani hicho..., thanks kwa kunikumbusha...!
...Aljuniortz, usijiulize sana kwani majibu yake ni zaidi ya mia na kidogo... All in all, bado mpo kwenye nafasi nzuri!
OK man, naona leo umekuwa fair kidogo!!! Kama unahitaji kadi ya Ze Bluzz sema nikufanyie mpango; maana thread hii unaipenda kweli kuliko ile ya timu yako!!! jokes
...unaona sasa, ndio maana mnachukiwa nyie! 😀
mimi ni mshabiki wa Ze Ganaz, na wakati huo huo Sympathizer wa Bwawa la maini!... Chelski mmenikalia kushoto kweli, kipindi cha Ruud Gullit kidogo nilikuwa nawaonea huruma, lakini Mourinho kanifanyisha niwachukie kweli kweli Chelsea... hasa Lamps, JT, Drogba yukkkkk!!!!... na yule dogo Cashley Cole, tumemlea halafu eti ananyea kiganja...!
LOL......duh! kumbe ndio maana umewandama sana hawa, BTW Wenger anabakia Manager pekeee ambaye HAKUWAI mfunga Mourinho!, kwa hilo una hai ya kuwatania Bro!
Sisi Taifa Kubwa!!!!!!!
...😱 eeeeeeh?!! mungu wangu! nilijua mkishashinda patakuwa hapatoshi hapa, Chelski bana!
haya, uwanja wenu huu leo, haya
hongereni! msije sema sijawapongeza bureee!