Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is unfished bussiness yet....tunawasubiri tena Stamford Bridge....Essien was terrific...was Gerald on the pitch?
Kipigo bado kipo tu.Si walikua wanatuzomea...sisi 'apana Man U tafadhali!!!
Yaani nina raha sana...was in a pub sipping while watching da game...nilikuwa peke yangu na damu ya Chelsea, tulipopigwa la kwanza baada ya Alex kuzembea kusafisha....was like taking a cold shower in Winter....nilijipa moyo jamaaa wametanguli na baiskeli ya miti....Ivanovic na Didier walinipa raha....
Well done Guus! happy days
Watani hongereni, ila si mnajua kama kawaida vita ya panzi(mechi yenu na liverpool) furaha ya kunguru...Ila nashukuru mmewafunga mdomo Kops maana duh waliongea sana uchafu jana.
This is unfished bussiness yet....tunawasubiri tena Stamford Bridge....Essien was terrific...was Gerald on the pitch?
Hahaha,Hongereni sana Chelsea nahisi huenda Hidink akasaini mkataba wa kudumu ,hawa jamaa walishaanza dharau game ijayo wapigeni 3 nyingine
Hiyo 'Hongereni' ni ndogo sana... Lakini poa tu, ishakuwa babangu!...😱 eeeeeeh?!! mungu wangu! nilijua mkishashinda patakuwa hapatoshi hapa, Chelski bana!
haya, uwanja wenu huu leo, haya
hongereni! msije sema sijawapongeza bureee!
Kabla mechi haijaanza nilimwambia jamaa yangu wa karibu kuwa kabla ya dakika ya 10 L'pool watakuwa na goli lakini nikamsisitizia kuwa pamoja na kuwa tutafungwa mwanzo bado Drogba ana goli na mwingine nisiyejua atakuwa nani atawashtua L'pool kwa kutomdhania. As if niliotea, ikawa vile!Masanilo,
Ndio moyo wakizalendo huo. Mwenzio nilikua na wasi wasi baada ya
bao la kwanza lakini si unajua kuna ile spirit ya "never say die"...
Viva Chelsea, We still believe!!!!
Ni kweli tunawasubiria nyumbani, tuwawekee welding ktk midomo yao maana walikuwa wanaongea pasi na kipimo utafikiri mpira wanaucheza wao dunia nzima!
Invisible iam HAPPY to see you again in this forum usikimbieHahaha,
L'pool walikuwa wanaanza kuota mapembe! Naona tulitakiwa kuwarudishia yale waliyowapa Man U ili wafahamu "Mpira unadunda". I see, nilifurahi sana game la jana.
Hiyo 'Hongereni' ni ndogo sana... Lakini poa tu, ishakuwa babangu!
Kabla mechi haijaanza nilimwambia jamaa yangu wa karibu kuwa kabla ya dakika ya 10 L'pool watakuwa na goli lakini nikamsisitizia kuwa pamoja na kuwa tutafungwa mwanzo bado Drogba ana goli na mwingine nisiyejua atakuwa nani atawashtua L'pool kwa kutomdhania. As if niliotea, ikawa vile!
Hahaha, interesting... "You will never walk alone" jana walionekana kubaki midomo wazi.
Mwonja huonjwa!
Invisible iam HAPPY to see you again in this forum usikimbie
Hahaha, interesting... "You will never walk alone" jana walionekana kubaki midomo wazi.
Mwonja huonjwa!
...umeona eeeh/ dah!? tena wapo wengi kweli...
wameibuka kama kumbikumbi kwenye mashimo yao 😀😀😀... nishawahesabu, next match nitawakalia kooni mpaka kieleweke...
BTW; tarehe 18/April muweke kwenye Diaries zenu tunakutana pale Wembley.
'washika bunduki'!
Mbu,
Weye acha zako maana tumo mumu humu ata iweje!
Nilikuwa nna hamu sana kuwepo katika mjadala wote huu sema bahati mbaya majukumu yanatukimbiza mbali kabisa na mitandao...lakini jana ulikuwa ni usiku wenye burudani na raha zake... yaani murua!!! Wanasema ati watakuja darajani well ni kwamba The Fat Lady will sure sing this time!!!