Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kesho na wewe usije ukapotea mkuu, si unajua man utd wakifungwa wananywea kweli. Kila la kheri

Mie uwa sipotei kama Invisible na Ab-Tichaz na the rest of the gang(blues fans)...tutabanana hapa hapa, kumbuka Chelsea's future is our past ni kama wanatembea kwenye footprints zetu.
 
Hahah huyo Ade tukimletea Beyonce uwanjani lazima miguu iishiwe na nguvu aanze kutetemeka.
lol......mmatumbi yule katoka mbali kaenda kutafuta ajira ulaya hataki mchezo....beyo hata aje kaava kile kivazi cha single ladies...
 
Yo Yo kwanza wewe ni mshabiki wa timu gani hasaaa??
mie timu yenye skills.....EPL nilikuwa bolton alipohama okocha nikahama namimi....ila kwa sasa naoan the gunaz ndio wanaweza kunichukulia muda wangu kuwaangalia...
 
Mbu

Halafu hizo 4-4-2-2 sijui namba gani zinajipangaje kwakweli hata sizielewi. Mimi naangaliaga chenga, pasi na magoli.
Inabidi nizifahamu vizuri hizo staili za kupanga wachezaji kwenye mechi.
nitakufundisha freeee

Ohh sweetie, nitakuelewasha tukiwa kitandani tunajadili siku ilikuwaje!

...alooo 😡 ...nyie vipi mbona mna Overtake kushoto tena kwenye vi-'pavement' yaani mnakiuka hivi hivi sheria za usalama barabarani?, ...mnaziweza ngumi za kavu kavu au ndio nyinyi mnaokimbilia kabali?

Mbu

Halafu hizo 4-4-2-2 sijui namba gani zinajipangaje kwakweli hata sizielewi. Mimi naangaliaga chenga, pasi na magoli.
Inabidi nizifahamu vizuri hizo staili za kupanga wachezaji kwenye mechi.

BJ, kwanza hiyo uliyoiweka wewe hapo 4-4-2-2 sio sahihi, kwani team ina wachezaji kumi na moja tu, kwahiyo formation inakuwa 4-4-2 (ukimuondoa golikipa)

4- inakuwa beki wa kushoto, beki wa kulia, centre half, na Defensive midfielder

4- inakuwa na winga wa kulia, winger wa kushoto, attacking midfielders wawili.

2- wanakuwa na ma striker wawili

(kina Mziray-super coach nipo sawasawa au nimechapia)...ha haa!​

...ndio kusema formation ya Chelsea leo 9-1-0 wote tisa ni defenders, isipokuwa Drogba aliyekuwa striker 'mpotevu!'
 
lol......mmatumbi yule katoka mbali kaenda kutafuta ajira ulaya hataki mchezo....beyo hata aje kaava kile kivazi cha single ladies...

Hana lolote angalia alichosema,
"For me that must be something special. It is like a boy being told Beyonce is looking for them." Lakini kwa jinsi lile toto lilivyonona sitomlaumu si unaona akina Hamilton wanajilia akina Nicole Scherzinger.
 
tehe tehe lakini mkuu mambo yale guu guu kweli kweli hayana msimamo....ade ni binadamu aliekamilika.....lol lewis anakimbiza si utani..
 
Hahah huyo Ade tukimletea Beyonce uwanjani lazima miguu iishiwe na nguvu aanze kutetemeka.

...😀 halafu sasa kaweka dreadlocks, ukichanganya anavyorembua macho na domo kulilegeza, kitukooooo kituko! anyway, ....acha watuwakilishe tu huko ughaibuni...Drogba yeye anachoma nywele, akiongeza na lipstick aaaarrgggghhh, ...utadhani aunty Asu!

I wish Van Persie angekuwa fit kesho! Kiboko wa Man U yule...

Anyway, hongereni CHELSEA kwa kuvunja mwiko wa Barca, maana kila anayeenda Nou Camp hatoki bila kulambishwa japo kimoja....!

Darajani naamini hadithi itakuwa nyingine, tombe uzima!
am out of this thread for now....
 
hata hivyo draw ya 0-0 ni noma sana kama mchezo unaofuata unakuwa kwako! wangapi wanauawa nyumbani? msianze kusherehekea, bado asubuhi sana!
 
Wanatafuta goli la dakika za mwisho mwisho.

Ilikuwa ni FULL SECURITY!!!lol

0,,10268~5827939,00.jpg
 
Watu bana wanashangaza kwei kwei 😕
Yaani "TUMEWAKAMATA/TUMEWASHIKA" vibaya kwao, lakini ooohhh game emeboaaa, mara sijui hii ni formation gani n.k.

drogbavaldes275.jpg

gamecast

0,,10268~5827356,00.jpg

0,,10268~5827354,00.jpg

BASI TUMEFUNGWA 3-0 AU SIO YO YO & ICADON???
 
Chelsea wizi mtupu, haiwezekani timu ambayo mchezaji wa bei ya chini ni pauni 15 mil (Mike Obi) icheze vile kama Hull City, hii ni dhuluma kwa fedha ya watazamaji. Mshambualiaji mmoja na wengine wote kuzuia, this is not fair especially for neutrals. Najuta kuangalia game ya jana!
 
kama unahisi uliibiwa ungetoka tu km ulikuwa ukumbini; km ni home kwako ungezima TV yako ukalala buheri wa afya.

Wote nyinyi ndio wale wachawi wetu, mlikuwa mnakesha kuomba tupoteze game ya jana but Mungu hakuwa upande wenu. Ole wenu tukiingia fainali haturudii makosa yale ya mwaka jana
 
Wote nyinyi ndio wale wachawi wetu, mlikuwa mnakesha kuomba tupoteze game ya jana but Mungu hakuwa upande wenu. Ole wenu tukiingia fainali haturudii makosa yale ya mwaka jana[/SIZE][/COLOR][/QUOTE]

Misconception, sio kosa lako kupenda kumekutia upofu, I clearly explained, timu iliyoundwa kwa more than 400 mil pounds haiwezi kucheza vile, Chelsea ikicheza vile je WBA, Hull City, Bolton wacheze vp? Lazima kuwe na tofauti ya madaraja, kwanini usajili the likes of Ballack, Essien, Alex kama unajua utapaki basi na kufunga milango. Utachukua ubingwa iwe Ulaya, EPL lakini kwa uchezaji ule kamwe hauwezi kuingia katika list ya timu bora za soka kama kina AC Milan, Real Madrid na Ajax Amsterdam. Pole kwa kupenda volleyball ya kutumia miguu!!!!
 
Gemu ya jana ilikuwa hovyo, yaani hata mimi nasikitikia masaa 2 ya maisha yangu yalivyopotea.
 
Back
Top Bottom