AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 18
formation kaka, formation! ...mkicheza tena 9-1-0 angalau mnaweza kwenda mpaka extra minutes kisha penalti,....
lakini mkibadili tu formation, let say mkacheza zile za kawaida 4-4-2 au 4-3-3 mmekwisha...! Unaona Real Madrid walivyofanyiwa juzi ndani ya Bernabeu?...au Bayern Munich?....
'Kiyama' chenu kinakuja!
Wewe subiria kichapo chako leo (sna hakika upo timu gani but nahisi arsenal) then utafute kiti kirefu upoze machungu. Subiri wanaume wafanye kweli pale darajani Stanford.
Huwezi ktufananisha na Real Mad au Beyern; hao wote kwa sasa ni marehemu, utawala wao ktk soka la uhakika umekufa sasa wanabahatisha; au hujasikia wanavyo fukuzana???
Ukiona Ze Blues wanakukera saaana, chukua ushauri wa bure kutoka kwa man Massa (saga chupa changanya na gogo/maji ya rangi ya mende unywe taratiibu kwa raha zako)