Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Rudi post kadhaa nyuma niliandika Chelsea vs Man Utd part II.

Good luck guys na mechi, mshindi ameshapatikana ngoja niangalie vitu vingine.
bado sana, barca wanahitaji goli moja tu, kagoli kamoja tu! kwisha habari ya ze bluez.
 
Originally Posted by BelindaJacob
Historia ya Moscow ijirudie!..

weeeeeeeee tripu hiiiiiiiiii celsea wameapa kufa na mtu
 
Aftaimuuuuuuuuuuu

chelsea 1 barcelona -1
 
Mesiiiiiiiii naona chelsia roho juu pamoja na kuongoza goli moja, Mapumziko
 
Aljuniortz..
Eti limepona kwa mbali. Tatizo anaogopa kushangilia maana Barca wakiwachenjia kesho nzima atakuwa mnyonge..Ushabiki damu una shida we acha tu!

Mpenzi hahahahah wee acha tu...mbona raha...Shadow....mbu
 
weeeeeeeee tripu hiiiiiiiiii celsea wameapa kufa na mtu

We!! Man ni chama lingine ati siyo Arsena kwahiyo Chelsea wanaweza kushughulikiwa huko Rome(I hope wameshafika)l..ha ha,huyu manager wao mdachi sijui ana mbinu gani lakini....Wakishinda ni heri
 
Hii mechi imekwenda fasta fasta kinoma half time tayari Duh!!!! barca kwisha kazi yao lol...

Wiki hii itakuwa sio nzuri kwa mashabiki wa Arsenal, maana jana mmekula kichapo leo chama lenu Barca nalo linakula kichapo jumapili mnachezea kichapo kutoka kwa Chelsea, mna kazi sana msijitundike vitanzi kama Suleiman(RIP).
 
Mpenzi hahahahah wee acha tu...mbona raha...Shadow....mbu

Washabiki wa Arsenal naomba fainali muhamie Man Utd!..Mbu na Shadow sawa? Au mtakuwa Chelsea?
My dear..Itakuwa Man Utd Vs Chelsea he he..unajua vizuri maana yake?hebu tegua mwenyewe.
 
hali ilivyo huenda mambo ya mwaka jana yakajirudia. Barca hawana ujanja kabisa ulinzi ukiwa imara. Chelsea wanapaswa kucheza the same format kama wanataka kushinda game hii. Maana Barca wameshika ball possession lakini hawana ujanja kabisa wa kupenya ulinzi.
 
Washabiki wa Arsenal naomba fainali muhamie Man Utd!..Mbu na Shadow sawa? Au mtakuwa Chelsea?
My dear..Itakuwa Man Utd Vs Chelsea he he..unajua vizuri maana yake?hebu tegua mwenyewe.

BJ, Hata kwa kuvutwa na trekta siwezi kushabikia mashetani wekundu!!
 
hali ilivyo huenda mambo ya mwaka jana yakajirudia. Barca hawana ujanja kabisa ulinzi ukiwa imara. Chelsea wanapaswa kucheza the same format kama wanataka kushinda game hii. Maana Barca wameshika ball possession lakini hawana ujanja kabisa wa kupenya ulinzi.

Mkuu kutokana na maandishi yako lazima ulicheza soka na mpira waujua..sikama wengine hapa mashabiki tu.....nawapa chelsea chance...kubwa!
 
Duh naona Invinsible amefufuka. Flu na homa za vipindi zimetulia baada ya goli la dakika ya saba, lakini ka-pressure kanapanda panda. Masanilo dripu y nusu kaputi hipo karibu. BJ yupo yupo timu itakayoshinda ndo atakayoshabikia. Good job the bluez for the first half.
 
Mkuu bado una matumaini kuwa Barca watachomoa? Maana possession bila goli ni kazi bure tuu.
 
Back
Top Bottom