Icadon
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 3,581
- 193
Historia ya Moscow ijirudie!..
Rudi post kadhaa nyuma niliandika Chelsea vs Man Utd part II.
Good luck guys na mechi, mshindi ameshapatikana ngoja niangalie vitu vingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Historia ya Moscow ijirudie!..
Historia ya Moscow ijirudie!..
bado sana, barca wanahitaji goli moja tu, kagoli kamoja tu! kwisha habari ya ze bluez.Rudi post kadhaa nyuma niliandika Chelsea vs Man Utd part II.
Good luck guys na mechi, mshindi ameshapatikana ngoja niangalie vitu vingine.
BJ kaka bado tumbo lamuuma?
Aljuniortz..
Eti limepona kwa mbali. Tatizo anaogopa kushangilia maana Barca wakiwachenjia kesho nzima atakuwa mnyonge..Ushabiki damu una shida we acha tu!
weeeeeeeee tripu hiiiiiiiiii celsea wameapa kufa na mtu
Mpenzi hahahahah wee acha tu...mbona raha...Shadow....mbu
Washabiki wa Arsenal naomba fainali muhamie Man Utd!..Mbu na Shadow sawa? Au mtakuwa Chelsea?
My dear..Itakuwa Man Utd Vs Chelsea he he..unajua vizuri maana yake?hebu tegua mwenyewe.
hali ilivyo huenda mambo ya mwaka jana yakajirudia. Barca hawana ujanja kabisa ulinzi ukiwa imara. Chelsea wanapaswa kucheza the same format kama wanataka kushinda game hii. Maana Barca wameshika ball possession lakini hawana ujanja kabisa wa kupenya ulinzi.
Duh naona Invinsible amefufuka. Flu na homa za vipindi zimetulia baada ya goli la dakika ya saba, lakini ka-pressure kanapanda panda. Masanilo dripu y nusu kaputi hipo karibu. BJ yupo yupo timu itakayoshinda ndo atakayoshabikia. Good job the bluez for the first half.
Mkuu bado una matumaini kuwa Barca watachomoa? Maana possession bila goli ni kazi bure tuu.
Mkuu bado una matumaini kuwa Barca watachomoa? Maana possession bila goli ni kazi bure tuu.