Hakuna kituHadi sasa, hii mechi ya nne nadhani, Sanchez anatuweka mchezoni. Takataka kageuka kuwa dhahabu ya dhamani. Udakaji wake umekuwa world class
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kituHadi sasa, hii mechi ya nne nadhani, Sanchez anatuweka mchezoni. Takataka kageuka kuwa dhahabu ya dhamani. Udakaji wake umekuwa world class
Mmegongwa MAKENGE nyie😂😂Ndgu yangu Chash money, kumbuka hii ni derby na derby huwa zinafuata historia
Chelsea wanapokutana na Derby na Fulam huwa ni ushindi tu. Leo Chelsea wako full nondo na nawaona Fulam wakijihami zaidi kuliko kucheza mchezo wao
-------------Jackson-----------------
Neto ----------Palmer----------Sancho
----Enzo----------------Caicedo-----
Cucurella ----Colwill----Tosin----Gusto
--------------Sanchez --------------
Mmeshinda ngapi MAKENGE nyieTusisahau pia Fulam wazuri sana kwenye kupress na kukimbia uwanjani, wako kila mahali. Ni gamu gumu hili ila najua tutashinda
Hadi sasa Sancho hache vizuri
Kwa upande wa mabeki, Tosin anaendelea kung'ara, hadi sasa ameshamnyang'anya Fofana nafasi ile ya RCB
Ndugu yangu umenipa matumaini ya uwongo, Ahsante kwa kuharibu bajeti yangu. Baada ya ushauri wako nikaagiza kuku choma na kinywaji baridi nikaanza kujipongeza kwa ushindi tutakaopata.Ndgu yangu Chash money, kumbuka hii ni derby na derby huwa zinafuata historia