Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Daaah mmenichania mkeka yan U 2.5 imegoma
#Ila nimefurahi sana
#Ila nimefurahi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LAVIA anarudije uwanjani wakati ni majeruhi? January tusajili mbadala wa Lavia na James. Kila siku majeruhi majeruhi yanatakiwa yapigwe risasi.Tumefungwa na Furham kwa makosa makuu mawili kwanza kumtoa Jackson ambae anadefend na kuweka Nkunku kosa la pili Neto alichoka mapema na kocha kashindwa kumuondoa na kumueka madueke goli zote zimepita kwa Neto.
Enzo hawezi kumudu midfield tunahitaji Lavia arudi wakiwa na Coicedo kati kati tunakua vizuri sanaa, tumekua dhaifu sanaa kati kati ya uwanja.
Mkuu nitumie namba yako nikurudishie Mtaji, samahani kwa usumbufu.Daaah mmenichania mkeka yan U 2.5 imegoma
#Ila nimefurahi sana
Tatizo maneno maneno mengi sana mtani🤠🤠🤠....tulia ligi huwa ndo inaanza miezi hiiMsimu kama huu sio wa kuchezea kabisa , ukiangalia city kapoteana , liverpool na Arsenal nao hawatishi , ni msimu wa kukaza na kubeba kombe ,kocha na wachezaji wake waache upuuzi na mentality ya kuridhika kama midtable teams ,Chelsea ni brand kubwa aisee .
Wakina Brentford.. Brighton...Hawa Fulham...arsenal....man city kama atazinduka... Newcastle....wte Hawa utqwafata ugenini....mambo ndo yanaanzaTatizo maneno maneno mengi sana mtani🤠🤠🤠....tulia ligi huwa ndo inaanza miezi hii
Fulham wako vizuri ingawa kweli sio game ya kupoteza, liver ulimi ulimtoka kwa fulhamIla hii trend sijapenda aisee , hizi si mechi za kuloose ,ni vile tu vijana hawajakaza kalio leo , hizi timu ni za kugonga ili kupata points nyingi ,kumbuka hata top four pia ni mpambano msimu huu ,kuna Nottingham ,Yale majamaa yanaweka kambani kila mechi msimu huu ,so kocha aje na mbinu za kusolve hii issue ,naona timu za low blocks mazee ya kupaki bus yameshatujulia sasa hivi ,sio nzuri hii
Kuwa seriously haikuwa bahati au tumestaili kufungwaHaikuwa bahati yetu
Kocha mpuuzi sana, yaani amemtoa jackson kamungiza Nkuku wakaanza kudefend, si angeingiza beki kabisa. Halafu kagoli kamoja unadefend vip manina. Peleka motoNkuku vs Jackson bado kuna ubishi?
Kumbe mkiwa kwenye jukwaa lenu mnatukubali ehFulham ametoa draw na Arsenal & Liverpool ambazo ni team bora zaidi yetu.