Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kweli hata mie sancho hakuna mchezaji mjinga kama yule

We nae jiheshimu basi halafu heshimu wapinzani wako tena kuwa na aibu
Ww kocha wako yupo na wachezaji ss ni mwaka wa 5 hana anachokifanya zaidi ya kucheza cheza kama mjina na hajui anataka nni hakuna mafanikio zaidi ya kushika top 4 watu wanakuja kufanya na kuchukua makombe ww na timu yako na mtaani mcheza chela hovyo ona aibu basi hata kma kutania muda mwingine ongea ki mpira timu yako mbovu Chelsea ni bora sana kwa muelekeo unaokwenda
Usikasirike.

Mtu akija kuongea kwa hoja hua naongea kwa hoja akija kwa utani same treatment inakuja.

By default hakuna shabiki wa Chelsea anakuja jukwaa la Arsenal akaanza kujenga hoja. No way you should expect any.

Now kama unataka tuone ikiwa kweli chelsea ni bora leta facts. Usikasirike
 
Taarifa za ndani zinasema baada ya miezi 4 Tajiri Miluzi ameingia rasmi ofisini Stanford Bridge. Ujio wake ni kwa sababu dirisha la usajili linakaribia kufunguliwa.

Kwa mujibu wa vyanzo vya ndani kabisa, vinasema kwamba kuna nguvu kubwa inatumika kumshawishi Tajiri Miluzi aachane na mpango wa kutaka kusajili Wachezaji 7 wapya dirisha la January.

images (5).jpeg
 
Rent boys fc, stay humble, your not tittle contenders, you just tittle pretenders
 
Taarifa za ndani zinasema baada ya miezi 4 Tajiri Miluzi ameingia rasmi ofisini Stanford Bridge. Ujio wake ni kwa sababu dirisha la usajili linakaribia kufunguliwa.

Kwa mujibu wa vyanzo vya ndani kabisa, vinasema kwamba kuna nguvu kubwa inatumika kumshawishi Tajiri Miluzi aachane na mpango wa kutaka kusajili Wachezaji 7 wapya dirisha la January.

View attachment 3187180
Papaa Boyle ,mutu ya mavumba ya kutosha
Mutu ya mapene
Kuna takataka ziondolewe pale Bridge , zinatucost sana
 
Kocha mpuuzi sana, yaani amemtoa jackson kamungiza Nkuku wakaanza kudefend, si angeingiza beki kabisa. Halafu kagoli kamoja unadefend vip manina. Peleka moto

Aliemleta Sanchoka chelsea akamatwe popote alipo.
Mmezoea kuuzia magalasha kwa wengine,sasa nadhani mnaona maumivu yake
 
Mmezoea kuuzia magalasha kwa wengine,sasa nadhani mnaona maumivu yake
Chelsea bado ina wachezaji wazuri mtakuja tu, ngoja dirisha lifunguliwe ujionee foleni ya timu zikija kwa mkopo na kununua
 
Na sasa hivi magoli yamekauka mpaka pale Lavia atakapo rudi uwanjani.
Sidhani mana kwan lavia amecheza kwenye game ngapi tukapata ushindi na hajacheza kwenye game ngapi na tumepata ushindi.

Kwenye game la Everton wengi walisema cucurela ndie engine ya timu, ila amerudi kwenye game la fulham ndo tukalambwa kabisa.
 
Mi naona kama Lavia akiwepo kiungo inatulia na Enzo anakuwa free kupanda juu kutengeneza mashambulizi.

Hata hivyo timu bado ina mapungufu mengi.
 
Mi naona kama Lavia akiwepo kiungo inatulia na Enzo anakuwa free kupanda juu kutengeneza mashambulizi.

Hata hivyo timu bado ina mapungufu mengi.
Lavia uwa akicheza na caicedo hapo kati mpira ya kufunga nafasi uwa hazipatikani. Labda caicedo acheze namba mbili alafu agusto asicheze. Yani caicedo awe ana invite kwenye kiungo wawe wanakuwa watatu ndio uwa tunafunga. Bila uwepo wa Enzo mipira haiendi mbele
 
Sidhani mana kwan lavia amecheza kwenye game ngapi tukapata ushindi na hajacheza kwenye game ngapi na tumepata ushindi.

Kwenye game la Everton wengi walisema cucurela ndie engine ya timu, ila amerudi kwenye game la fulham ndo tukalambwa kabisa.
Goli limetokea upande wake alikuwa yuko mbele amechelewa kurudi,watu wamepiga klosi kamba.
 
Na sasa hivi magoli yamekauka mpaka pale Lavia atakapo rudi uwanjani.
Masha biki sisi tunasahau mapema, wakati ule Lavia anacheza ndio timu ilikuwa inastrugle kufunga magoli. Hadi Enzo aliporudishwa ndipo Chelsea ikaanza tena kufunga. Lavia hana msaada mkubwa kweenye mashambuilizi. Lavia yeye analeta balance nzuri zaidi kwenye kiungo na kuwafanya Caicedo na Enzo kucheza kwenye box2box
Caicedo akihaha uwanja mmzima na Enzo akihaha kule mbele
 
Premier league sio la liga au bundas liga, hamna alio jua au kuatabili kwamba mancity angeweza kua nafasi ya saba hata kabla ya round ya kwanza bado. nani angejua kwamba mancity angetafuta hata sare kwa astoni villa.

Premier mpaka ubakize mipira miwili ukiwa unaongoza kwa zaidi ya point 7, ndo utangazwe ubigwa, Liverpool akianza kuboroga atashangaa tuombe asipate majaraha na uchovu kwa wachezaji wake, lla bado atakae shida Premier ukiondoa Chalsea ambao haiko kwenye tittle race, tukivhukua ni Bonus tu kwetu na uzembe wa Liverpool na mancity, Mancity, bado najipa nafasi, ila kwa Arsenal sio rahisi.

Kipindi ambacho Timu kama Liverpool hudondosha points ni kati ya Desemba na Januari.

Desemba imeshapita wamefanya maangamizi sasa tusubiri Januari tuone.

ila ikipita Januari basi sema bye bye
 
Ninapenda kuona Jörgensen akianza, iwe ni mzunguko au la. Pia napenda kuwaona Nkunku na Félix wapo ndani. Shida yangu pekee ni Disasi kwenye RB

Formation 4-2-3-1

-------------Nkunku-----------------

Felix ----------Palmer----------Madueke

----Enzo----------------Caicedo-----

Cucurella ----Colwill----Tosin----Disasi

--------------Jorgensen --------------

Bench
1) Sanchez
2) Acheampong
3) Gusto
4) James
5) Veiga
6) Neto
7) Sancho
8) Guiu
9) Jackson

Bench
 
Back
Top Bottom