Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Yaani tunacheza kama hatuna namba 9 mbele.Kwamba kupoteza mipira hovyo ni bahati mbaya au uwezo duni? Felix bado anacheza mpira wa chandimu ile umsubiri mtu umpige tobo sasa hayo mambo kwenye EPL hakuna
Nkuku naye kama analazimisha aonekane mwisho wa siku anaondoka kwenye eneo lake na anajikuta kama LW