Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1737579631687.png
 
EXCLUSIVE: Juventus agree deal with Chelsea to sign Renato Veiga, here we go!Loan deal for €5m loan fee until June, no buy option clause — and then player back to Chelsea at the end of June for Clubs’ World Cup.Veiga, expected to play as CB at Juventus.
1737585693713.png
 
Left back atacheza nani?
Cucu akiumia yupo Ishe Samuels-Smith au Gusto hata James
Mkopo wa milioni 5 kwa miezi sita sio haba
Uzuri mmoja huo mkopo hauna buy option
Maana yake Veiga akipewa muda wa kutosha atarudi akiwa best CB
Kocha wa Juventus Thiago Motta ndie aliyemkuza Riccardo Calafiori na naamini kwa miezi hii sita kama atapata nafasi atamkuza vizuri
 
Kipindi hiki tunahitaji mchezaji huyu?
Wakati yule khvicha alikuwa sokoni na anauwezo wa kufunga hatukuangaika mpaka kaenda PSG
Timu inauhaba na centre forward na beki kiongozi lakini SD bado wananunua raw players
 
Attachments

  • Screenshot_20250122_183507_Google.jpg
    Screenshot_20250122_183507_Google.jpg
    379.6 KB · Views: 2
Kipindi hiki tunahitaji mchezaji huyu?
Wakati yule khvicha alikuwa sokoni na anauwezo wa kufunga hatukuangaika mpaka kaenda PSG
Timu inauhaba na centre forward na beki kiongozi lakini SD bado wananunua raw players
Tuna SD waajabu sana
 
Mykhailo Mudryk aachwa na mchumba wake (Violetta Bert ambaye ni mwanamitindo wa nchini Urusi) baada ya Mudryk kufungiwa na FA kwa muda usiojulikna kucheza kandanda nchini Uingereza. Mwanamitindo huyo ambaye aliamua kwenda likizo na mpinzani wake wa zamani wa Premium League.

Kulingana na Game, Set & Match, Bert amehama kumuacha Mudryk na sasa anachumbiana na kiungo wa Juventus, Weston McKennie.

Imeripotiwa kuwa Bert na McKennie waliondoka kwa ndege wakiwa pamoja, huku wawili hao wakichapisha picha za kituo maarufu cha kuteleza kwenye theluji cha Ufaransa, Courchevel, wakiwa wameanza kufuatiliana kwenye mitandao ya kijamii mwezi Oktoba.
1737717112361.png
 
View attachment 3212435
Wanawake ni 0 kabisa tamaaaa tu
 
  • Thanks
Reactions: K11
JAMBO KUBWA LINALOFUATA LA STARLINK: HUDUMA YA SELI KUTOKA ANGANI

SpaceX inafanyia majaribio toleo jipya la Starlink: Setilaiti za Direct-to-Cell zinazounganisha simu za mkononi kwenye huduma ya simu za mkononi popote Duniani—hata katikati ya mahali popote.

Setilaiti hizi hufanya kama "minara ya seli angani," itawaruhusu watumiaji wa simu za mkononi kutuma ujumbe, kupiga simu, au kutumia internet bila kuhitaji mawimbi kutoka kwa minara ya ardhini. Hakuna simu mpya au kifaa kipya inahitajika!

Majaribio yataanza Januari 27 na inalenga kuondoa maeneo yasiyofikiwa na huduma duniani kote, na hivyo kufanya iwezekane kupiga simu ili upate usaidizi, bila kujali mahali ulipo.

Chanzo: NASASpaceFlight.

1737805043449.png
 
Hizi quotes za Maresca sidhan kama zina afya naona na yeye amekuwa mbwabwatukaj tu.
 
PEP vs Maresca

Wachezaji wapya wameanza dhidi ya Chelsea
Khusanov na Marmoush
1737821991609.png
 
Mistake from Khusanov on his debut gifts Madueke a goal! Man City 0-1 Chelsea

1737828149803.gif
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom