Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mvua ya magoli inakuja, kaa mkao wa kuliwa
Hakuna mvua ya magoli hapa. Timu itakayoshinda ni kwa margin kwa sababu wote wabovu. Chelsea zaidi kutoboa hapa ni shida kwa sababu mentality inaonekana wazi wachezaji kama vile wako picknick
Hawapress wala kujishughulisha. City ukiwapress wanakuwaga wabovu
 
Hii timu ina small mentality, very inferior approach
Wachezaji na kocha wao wako honeymoon no urgency at all
 
Ninachokiona hapa hata yale mafanikio ya Mashavu hatutayafikia na ukweli ni kwamba tuna kikosi kizuri kuliko kile cha mwaka jana
 
Nkunku sio striker ni shati linalotembea uwanjani
Aina ya uchezaji wa Nkunku ninyi ndio hamjui
Anahitaji wachezaji wenye uwezo wa kumpelekea huduma kitu ambacho hakuna. Mpelekee mpira kwenye penalti box ndio utajua umuhimu wake
 
IMG-20250125-WA0005.jpg
 
Hii ndio siku pekee tulikuwa tunaweza isambaratisha City ila Game setup ya Maresca na kukomalia wachezaj wanaomuangusha inatugharim
 
Back
Top Bottom