Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nkunku kocha ndie ametuaminisha kuwa Nkunku haendani jna mfumo wake na wewe ukawa miongoni mwa waliomuamini. Preseason Nkunku ndiye alikuwa miongoni mwa waliofanya vizuri kwa taarifa yakoTukubali wakuu Nkukuu formation imemshinda au hana bahati kwa Chelsea, kila akipewa nafasi ndiyo anazidi kujificha kiasi kwamba uoni impact yale uwanjani.
Nkukuu, Falcao, Gonzalo Higuani, Alvaro Morata walipofika Chelsea walikuwa kama wamerogwa vile...wanatangatanga tu uwanjani bila faida.
Mtu pekee anaeweza kuichalange nafasi ya Jackson pale Chelsea ni mtu anaetumia nafasi kwa ajili ya kufunga tofauti na hapo bora Jackson abaki aendelee kubahatisha japo anawapa mabeki kashikashi.
Japo sijaelewa sababu ya kuwatoa wote Ugonchuku na Chukuemeka alafu unamtela tena vijana wa miaka 19.
Uwezi kuchukua kombe na watoto chini ya miaka 25 na wala zaidi ya miaka 33...
Leo nipo na nyie wanetu😂Hii ndo Chelsea yetu, tumeipenda wenyewe 😂
Tunashinda h mechi, matumaini ameshafufuka 😂Leo nipo na nyie wanetu😂
Kuna mmoja either Nkunku au kocha ndio kichwa ngumu mfano leo Nkunku kaingia lakini wakati wa kushambulia nashangaa Cucurella yupo ndani ya box alafu Nkunku yupo nje ya box kama wing back sasa najiuliza ni mfumo wa kocha au ni mchezaji anakosa skills za kuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihiNkunku kocha ndie ametuaminisha kuwa Nkunku haendani jna mfumo wake na wewe ukawa miongoni mwa waliomuamini. Preseason Nkunku ndiye alikuwa miongoni mwa waliofanya vizuri kwa taarifa yako
Hata Palmer alikuwa saa nyingien anakabia kwenye wing ya kushoto kwa Cucurella. Mfumo unahitaji wachezaji kuwa dynamic. Ni wachezaji wachache ndio hawahami maeneo yao na wengi wao wakiwa mabekiKuna mmoja either Nkunku au kocha ndio kichwa ngumu mfano leo Nkunku kaingia lakini wakati wa kushambulia nashangaa Cucurella yupo ndani ya box alafu Nkunku yupo nje ya box kama wing back sasa najiuliza ni mfumo wa kocha au ni mchezaji anakosa skills za kuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi
Cucu muda mwingi alikua kwenye box toka 1st half, na yupo vizuri kwnye kurud kwnye nafasi yake. Nkuku sidhani kama aliingia kama striker. Alipokwepo ndipo alitakiwa awepo.Kuna mmoja either Nkunku au kocha ndio kichwa ngumu mfano leo Nkunku kaingia lakini wakati wa kushambulia nashangaa Cucurella yupo ndani ya box alafu Nkunku yupo nje ya box kama wing back sasa najiuliza ni mfumo wa kocha au ni mchezaji anakosa skills za kuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi
NkunkuCucu muda mwingi alikua kwenye box toka 1st half, na yupo vizuri kwnye kurud kwnye nafasi yake. Nkuku sidhani kama aliingia kama striker. Alipokwepo ndipo alitakiwa awepo.
Beki namba tatu wa man city mara nyingi uwa utamuona kwenye eneo la kushambulia hiyo itakuwa ni mbinu mpya ya mpira wa kisasa kufanya namba tatu kuja kushambulia na kurudi kulinda eneo lakeCucu muda mwingi alikua kwenye box toka 1st half, na yupo vizuri kwnye kurud kwnye nafasi yake. Nkuku sidhani kama aliingia kama striker. Alipokwepo ndipo alitakiwa awepo.
Alipokuwa amehama wengine walicover nimemuana hata Palmer alidefend vizuri kwenye wngback ya kushoto. Mfumo wa Maresca ndivyo unavyomhitaji mchezaji kuwa dynamicCucu muda mwingi alikua kwenye box toka 1st half, na yupo vizuri kwnye kurud kwnye nafasi yake. Nkuku sidhani kama aliingia kama striker. Alipokwepo ndipo alitakiwa awepo.
Biashara inakwenda vizuri. Faida inaonekana. Hao walioenda kwa mkopo dirisha lijalo la usajili tutawauza permanent.Chelsea dirisha la Januari
Una maoni gani
IN:
▪︎ Mathis Amougou (St-Etienne, £12.5m)
▪︎ Aaron Anselmino (Boca Juniors, recalled from loan)
▪︎ Gabriel Slonina (Barnsley, recalled from loan)
▪︎ Trevoh Chalobah (Crystal Palace, recalled from loan)
▪︎ David Fofana (Goztepe S.K., recalled from loan)
OUT:
▪︎ Axel Disasi (Aston Villa, loan)
▪︎ João Félix (AC Milan, loan)
▪︎ Renato Veiga (Juventus, loan)
▪︎ Alex Matos (Oxford, loan)
▪︎ Kai Crampton (Bournemouth, undisclosed)
▪︎ Zain Silcott-Duberry (Bournemouth, undisclosed)
▪︎ Jimmy-Jay Morgan (Gillingham, loan)
▪︎ Cesare Casadei (Torino, £12.5m)
▪︎ Caleb Wiley (Watford, loan)
▪︎ Somto Boniface (Ipswich Town)
▪︎ Carney Chukwuemeka (Borussia Dortmund, loan)
▪︎ Ben Chilwell (Crystal Palace, loan)
▪︎ Harvey Vale (QPR)
Chelsea wanakaribia kumsajili Dario Essugo kwa mil 25 na ana miaka 19 tu na uchezaji wake ni copy and paste ya Moises Caicedo. Romeo Lavia naoan anatafutiwa kitands kuzuri cha kuuguza majeruhi yake
Huyu akisajiliwa itamake sense
View attachment 3223709
kama Brighton, mchezaji akipanda bei anapigwa mnada na kwa hiyo Chel;sea itaendela kuwa na vitoto vinavyokuzwa kila wakatiBiashara inakwenda vizuri. Faida inaonekana. Hao walioenda kwa mkopo dirisha lijalo la usajili tutawauza permanent.
Next:- Madueke, Neto, Sancho, Sanchez, Fofona, James, KDH, Nkunku, Tosin, Badiashile
Tutanunua makinda 28 wa kureplace hao.