Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii team kwa sasa Tatizo kubwa liko kwenye uongozi
Sporting Directors na Wamiliki hawa ndio tatizo sasa

Huwez tumia zaidi ya 1BN hakaf team inaonekana inamapungufu kila mahal

Hata aje kocha gani ikiwa SD au Wamiliki ni hawa hawa basi hapo ndio mwishk wety
Mimi nina mtazamo tofauti kabisa. Uongozi una matatizo yao, lakini kosa kubwa la performance ya timu liko kwa kocha. Tuna kikosi chenye uwezo wa kupigania top 4
Tuna kikosi cha kuweza kufika fainali za Carabao na FA
Tuna kikosi cha kuweza kushinda UECL
Wakati wa Pochettino akiwa na kikosi kibovu kuliko hichi aliweza kufika fainali ya Carabao tukashindwa mbele ya Liverpool
Kwenye FA Cup tuliweza kufika nusu fainali
Kwenye ligi tuliweza kumaliza nafasi ya 6
Haya mafanikio siyaoni kwa Maresca
Sioni top 4
Tumetolewa mapema sana kwenye Carabao na FA

'Kuna kila dalili hata UECL tutatolewa kwa sababu tuna kocha asiye na akili hata kidogo. Yaani mbumbumbu hajui anafanya nini. Mbinu na mikakati ya kushinda mataji hata yale ya mbuzi na jogoo hana.

Tumewanunau the best players wa Brighton wao wakasenda kuwakusanya vito visivyojulikana, Hinshelwood ni kiungo wao ana miaka 19 lakini kacheza vizuri kuliko viungo wetu wazoefu. Mtot anapress ile mbaya huku sisi wakisubiri mipiura kama milingoti.

Tunamhitaji striker na labda kiungo mkabaji na labda beki wa kati kiongozi, lakini Enzo Maresca sio kocha wa kuwasimamia hao wachezaji. Tatizo la msingi la Chelsea kuonekana wadhaifu ni haya:
  1. Player Selection and Substitutions - hili sasa naona amelirekebisha.
  2. Game Plan and Execution - kuna tatizo kubwa hapa ni kama Enzo Maresca kaishiwa mbinu na zile za mwanzo timu zimeshazisoma na sasa Chelsea haiwezi tena kuexecute hizo tactics zake.
  3. Player Management and Development - uwezo wa Maresca kuinua uwezo wa mchezaji mmoja mmoja uko duni sana. Hata Plamer naona uwezo wake ukipungua tofauti na wakati wa Pochettino. Enzo, Jackson ndio kazima kabisa, siwezi kuwataja. Kocha mzuri ni yule anayeweza kuwafanya wachezaji waperform na kuongeza kiwango kila wakati. Hii charisma Maresca hana.
Nimelizie kwa kusema maelekezo kocha anayowapa wacheza inawachanganya hadi wanashindwa kucheza. Siwapendi kabisa mimi makocha wafahidhina style ya akina PEP, Arteta na huyu kipara wetu. Akiuwakosa wachezaji wanaoweza kuchukua maelekezo yao wankuwa na timu mbovu ile mbaya.

SD pamoja na kuwa na maamuzi mabaya ila bado wamefanya usajili mzuri. Wametukasirisha kidogo tu kuendlea kuwasjili watoto wakati kuna nafasi zinahitaji kuboreshwa ambazo nimeshazisema hapo juu.
 
Kocha nae ana upuuzi wake, timu inacheza kama wamevimbiwa maharage, mipasiii miingi ya nyuma. mbona mwanzoni walikua wanacheza freshi tu through ball zilikua zinapigwa.

Ni
Hii team kwa sasa Tatizo kubwa liko kwenye uongozi
Sporting Directors na Wamiliki hawa ndio tatizo sasa

Huwez tumia zaidi ya 1BN hakaf team inaonekana inamapungufu kila mahal

Hata aje kocha gani ikiwa SD au Wamiliki ni hawa hawa basi hapo ndio mwishk wety
Nitajia timu inayomilikiwa na Mmarekani IKAFANYA VIZURI?
 
Mimi nina mtazamo tofauti kabisa. Uongozi una matatizo yao, lakini kosa kubwa la performance ya timu liko kwa kocha. Tuna kikosi chenye uwezo wa kupigania top 4
Tuna kikosi cha kuweza kufika fainali za Carabao na FA
Tuna kikosi cha kuweza kushinda UECL
Wakati wa Pochettino akiwa na kikosi kibovu kuliko hichi aliweza kufika fainali ya Carabao tukashindwa mbele ya Liverpool
Kwenye FA Cup tuliweza kufika nusu fainali
Kwenye ligi tuliweza kumaliza nafasi ya 6
Haya mafanikio siyaoni kwa Maresca
Sioni top 4
Tumetolewa mapema sana kwenye Carabao na FA

'Kuna kila dalili hata UECL tutatolewa kwa sababu tuna kocha asiye na akili hata kidogo. Yaani mbumbumbu hajui anafanya nini. Mbinu na mikakati ya kushinda mataji hata yale ya mbuzi na jogoo hana.

Tumewanunau the best players wa Brighton wao wakasenda kuwakusanya vito visivyojulikana, Hinshelwood ni kiungo wao ana miaka 19 lakini kacheza vizuri kuliko viungo wetu wazoefu. Mtot anapress ile mbaya huku sisi wakisubiri mipiura kama milingoti.

Tunamhitaji striker na labda kiungo mkabaji na labda beki wa kati kiongozi, lakini Enzo Maresca sio kocha wa kuwasimamia hao wachezaji. Tatizo la msingi la Chelsea kuonekana wadhaifu ni haya:
  1. Player Selection and Substitutions - hili sasa naona amelirekebisha.
  2. Game Plan and Execution - kuna tatizo kubwa hapa ni kama Enzo Maresca kaishiwa mbinu na zile za mwanzo timu zimeshazisoma na sasa Chelsea haiwezi tena kuexecute hizo tactics zake.
  3. Player Management and Development - uwezo wa Maresca kuinua uwezo wa mchezaji mmoja mmoja uko duni sana. Hata Plamer naona uwezo wake ukipungua tofauti na wakati wa Pochettino. Enzo, Jackson ndio kazima kabisa, siwezi kuwataja. Kocha mzuri ni yule anayeweza kuwafanya wachezaji waperform na kuongeza kiwango kila wakati. Hii charisma Maresca hana.
Nimelizie kwa kusema maelekezo kocha anayowapa wacheza inawachanganya hadi wanashindwa kucheza. Siwapendi kabisa mimi makocha wafahidhina style ya akina PEP, Arteta na huyu kipara wetu. Akiuwakosa wachezaji wanaoweza kuchukua maelekezo yao wankuwa na timu mbovu ile mbaya.

SD pamoja na kuwa na maamuzi mabaya ila bado wamefanya usajili mzuri. Wametukasirisha kidogo tu kuendlea kuwasjili watoto wakati kuna nafasi zinahitaji kuboreshwa ambazo nimeshazisema hapo juu.
Kocha anaweza kuwa tatizo ila tatizo zaidi liko juu.

Huwez spend 1.5B kwenye usajil na bado unaonekana unamapungufu

Kila kocha anasetiwa kufell na hawa SD,

Usajili tuliofanya msim huu (Summer na Winter) unahis nani amekuja kuimprove hii team zaidi ya nusu kuishia kwenda kwa mkopo
Kati ya Petrovic na Sanchez nani ni bora???

Our SD o wamiliki wasipobadilika tutaendelea kuwa wasindikaizaji hivi hivi

Kama tunahisi timua timua ya makocha ndio suluhisho basi tutakuwa hatupigi hatua yoyote maana hatutatui tatizo.

Summer ilifaaa SD n Wamiliki wamsupport Maresca kwenye usajil kwa kuleta wachezaj watakaoimprove team na siback up, Matatizo yetu yashaanza kuonekana tangu msimwa Pochetino

Unaspend 20M kwa David Washngton,20M kwa Omar Kellyman na hao wote hakuna hata mchezaj mmoja alieingia first team
 
Mimi nina mtazamo tofauti kabisa. Uongozi una matatizo yao, lakini kosa kubwa la performance ya timu liko kwa kocha. Tuna kikosi chenye uwezo wa kupigania top 4
Tuna kikosi cha kuweza kufika fainali za Carabao na FA
Tuna kikosi cha kuweza kushinda UECL
Wakati wa Pochettino akiwa na kikosi kibovu kuliko hichi aliweza kufika fainali ya Carabao tukashindwa mbele ya Liverpool
Kwenye FA Cup tuliweza kufika nusu fainali
Kwenye ligi tuliweza kumaliza nafasi ya 6
Haya mafanikio siyaoni kwa Maresca
Sioni top 4
Tumetolewa mapema sana kwenye Carabao na FA

'Kuna kila dalili hata UECL tutatolewa kwa sababu tuna kocha asiye na akili hata kidogo. Yaani mbumbumbu hajui anafanya nini. Mbinu na mikakati ya kushinda mataji hata yale ya mbuzi na jogoo hana.

Tumewanunau the best players wa Brighton wao wakasenda kuwakusanya vito visivyojulikana, Hinshelwood ni kiungo wao ana miaka 19 lakini kacheza vizuri kuliko viungo wetu wazoefu. Mtot anapress ile mbaya huku sisi wakisubiri mipiura kama milingoti.

Tunamhitaji striker na labda kiungo mkabaji na labda beki wa kati kiongozi, lakini Enzo Maresca sio kocha wa kuwasimamia hao wachezaji. Tatizo la msingi la Chelsea kuonekana wadhaifu ni haya:
  1. Player Selection and Substitutions - hili sasa naona amelirekebisha.
  2. Game Plan and Execution - kuna tatizo kubwa hapa ni kama Enzo Maresca kaishiwa mbinu na zile za mwanzo timu zimeshazisoma na sasa Chelsea haiwezi tena kuexecute hizo tactics zake.
  3. Player Management and Development - uwezo wa Maresca kuinua uwezo wa mchezaji mmoja mmoja uko duni sana. Hata Plamer naona uwezo wake ukipungua tofauti na wakati wa Pochettino. Enzo, Jackson ndio kazima kabisa, siwezi kuwataja. Kocha mzuri ni yule anayeweza kuwafanya wachezaji waperform na kuongeza kiwango kila wakati. Hii charisma Maresca hana.
Nimelizie kwa kusema maelekezo kocha anayowapa wacheza inawachanganya hadi wanashindwa kucheza. Siwapendi kabisa mimi makocha wafahidhina style ya akina PEP, Arteta na huyu kipara wetu. Akiuwakosa wachezaji wanaoweza kuchukua maelekezo yao wankuwa na timu mbovu ile mbaya.

SD pamoja na kuwa na maamuzi mabaya ila bado wamefanya usajili mzuri. Wametukasirisha kidogo tu kuendlea kuwasjili watoto wakati kuna nafasi zinahitaji kuboreshwa ambazo nimeshazisema hapo juu.
Nyie jamaa kila dirisha mnasajili wachezaji ila hamtosheki tu
 
Mudyk ametupa hasara sana kwa kuvuta mabangi yaliyopigwa marufuku. Tutamuuza kwa hasara.
20230822_071716.jpg
 
Kazi ipo itafikia mda mechi Chelsea sitaacha usingizi wangu kwenda kiangalia
Mashabiki bwana...yaani mnataka kushinda kila mechi ili timu nyingine wao wasishinde? Kuweni na shukrani, ushabiki ni kufurahia kila nyakati. Ungekuwa London sijui kama ungeeda ata uwanjani; wenzako wapo hadi nyakati timu inafungwa magoli 5.

Wachezaji siyo roboti kuna wakati wanakuwa na uchovu na pia kukosa bahati...Sasa mashabiki wa Man Utd au Tottenham watasemaje.
 
Ukishaingiza bahati kwenye mpira tayari umefeli, yani mwenzio ajiandae vizuri na long marathon we ukae tu kusubiri bahati sio!!!?, Na huo uchovu unawapata wachezaji wa Chelsea tu kila mechi?.

Tangu tuanze kuboronga ni kuboronga tu si ligi kuu si Fa wala Carabao huoni kama kuna shida Mahali?. Wakifanya vizuri tutawasifia na wakiboronga pia tutasema tu ndo kazi yetu sisi mashabiki au unadhani hao mashabiki wa Man U wao hawaisemi timu yao sio!!? Bro kwa sasa hatueleweki yani pumzi hatuna ya kuhimili dakika 90 mara nyingi kipindi cha pili tunaboroga sana.
 
Mashabiki bwana...yaani mnataka kushinda kila mechi ili timu nyingine wao wasishinde? Kuweni na shukrani, ushabiki ni kufurahia kila nyakati. Ungekuwa London sijui kama ungeeda ata uwanjani; wenzako wapo hadi nyakati timu inafungwa magoli 5.

Wachezaji siyo roboti kuna wakati wanakuwa na uchovu na pia kukosa bahati...Sasa mashabiki wa Man Utd au Tottenham watasemaje.
Kwani Chelsea imekuwa SOTON? Chelsea ni timu kubwa inatakiwa kushind mechi za kutosha kuiweka juu ya ligi au top 4. Habari ndio hiyo
 
Enzo Maresca: "I didn't say our target was top four - the club never said that. The target was in two years to play Champions League, not in one year."

Hii timu imeshajichokea
 
Enzo Maresca: "Hili ndilo lengo letu. Katika miaka mitano au 10 ijayo klabu hii inaweza kushindana, bila shaka.

Kuna vilabu vimekaa pamoja kwa miaka mitatu, minne, mitano lakini bado vinatatizika. Kwa nini Chelsea, baada ya miezi sita, iwe inashinda Ligi Kuu, kumaliza nne bora au kushindana kwenye ligi nne? Kwa nini?"
 
Hili lishakuwa tatizo tyr hakuna matumaini yoyote hapa
 
Katika kitu nilikuwa nakiogopa kama shabiki ni kufa kwa Roman Abramovich, nikiamini Chelsea ingeacha njia yake ya makombe.

Sikutegemea kwamba kuna janga la vita vya Ukraine lingetokea na timu kuwa malapulapu.

THE BLUES kuondoka kwenye mikono ya Roman imekuwa mkosi na laana Kwenye kubeba makombe.
 
Back
Top Bottom