Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakati tajiri miluzi kamfukuza Tuchel Nangelsman na Enrique walikuwa available bodi ikaopt mid table coach Pochettino
Toka apo ikaangukia mulemule kwa kipara cha madeni hii yote ni kutafuta kocha mwenye akili mnemba kocha wa remote
Ona sasa toka mrusi aachie timu imefanywa midtable timu mpaka kocha anatamba msimu huu hata top 4 sio target
Spending billions to sale not to improve a team
Rasmi hili jukwaa limeshakuwa trolling platform kwa ego za kimarekani wakati wana zero experience in managing football club
 
hizi game tunaanziwa kufungwa kuanzia kwenye press conference, maana kwa mentality ya kocha nikama wachezaj wanaingia wamerelax
Ushindi wa Brighton dhidi ya Chelsea 3-0 hauhusu ubora wa Brighton bali ni mentality sahihi.

Press conference wa waandishi wa habari yenye matamshi ya sumu wa Maresca umewadhuru wachezaji na kuondoa ari na fikra ya kupigania ushindi.

Soma hii kutoka kwa ujumbe wa meneja wa Brighton kwa wachezaji na mashabiki:

Fabian Hürzeler baada ya press conference na waandishi wa habari Juu ya kuifunga Chelsea katika raundi ya nne ya Kombe la FA wikendi iliyopita:

"Tumeweka viwango vyetu vya juu, kwa hivyo ni kujipa changamoto, kuboresha na kucheza kwa nguvu zaidi. Sio kumzidi mpinzani. Chelsea ni timu nzuri - wamethibitisha hapo awali na watathibitisha tena."

Kwenye mechi ya EPL dhidi ya Chelsea,

"Tunataka kucheza mchezo huu na kuwapa mashabiki wetu wa nyumbani ushindi mwingine ili wawe na wikendi nzuri. Kuwafanya wajivunie na kuwa na furaha ndio wanastahili. Lakini juu ya hilo, bila shaka, tunataka kuimarika na kupiga hatua inayofuata katika mchakato wetu."
 
Maresca kang'angana na mradi wa miaka 5-10
Timu haiko tayari kushindana kwenye ligi nne
Haya hii ambayo yuko tayari kushindana tumefungwa akaja na haya
"Ni vigumu wakati huna namba tisa sahihi. Kwa hivyo unapaswa kutafuta suluhu tofauti kila wakati.
PEP na Man City wameshinda bila namba tisa sahihi
Liverpool wako kileleni wma ligi bila namba tisa sahihi
 
Mara utasikia sisi kipa ndiyo tatizo.

Jana wanajisifia eti kikosi chao kina wastani mdogo kiumri kuliko vyote.

Wanamaliza hapo wanamlaumu kitasa Chalobah ila Cucurella kabinuliwa na Minteh mara mbili na hawaoni.

Pamoja na yote hayo. Minteh alichezq kama beki jana, how crazy was that kwamba anatoka kulinda anaenda kumbinua Cucu
 
Hii ndiyo Chelsea nayoijua Mm na naipongeza sana, mpaka J3 tutakuwa nafasi ya saba nafasi ambayo ni sahihi kwa sisi Chelkenge kuwepo.
20240107_153833.jpg
 
Endeleeni kumpanga caicedo ipo siku mtakumbuka maneno yangu. Caicedo hakuna mchezaji humo ni garasa hilo ndio maana alipotolewa hamkufungwa tena. Goli zote tatu zimepitia kwake.
 
Back
Top Bottom