Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Eti namba 10 ni lile zoba Palmer 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Palmer mpiga nyeto 🤣🤣

Sancho
Maduka

Forward yenu🤣😀🤣
 
Siwalikuwa wanasema eti Sancho ni mchezaji mzuri, eti kwakuwa anachezea timu mbovu ya Man u ndio mana hafanyi vizuri. Haya sasa Sancho huyo hapo sasaaa!!!???
 
Jamie Carragher: “Chelsea has never been a project club, they were serial winners, they didn’t need to change it. I get they want young players, everyone wants young players but you can’t wait years.”
 
  • Thanks
Reactions: K11
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Enzo Maresca was told he was not expected to qualify for the Champions League until next season. Chelsea are happy with the job he’s done so far.

(Source: @SJohnsonSport)
 
Afadhali tumeshafikisha pointi 43 na tumepona kushuka daraja. Tungekuwa na pointi 20, huyu Maresca angetushusha daraja kwa sababu sioni mechi nyingi za kushinda kutoka sasa hadi mwisho wa ligi.

Tutapigwa siasa za kitoto za mara timu haikuhitaji top 4, haikuhitaji Carabao Cup, haikuhitaji FA Cup, haikuhitaji UECL, na sasa msimu huu kila mtu alikuwa likizo tu.

Leicester City walituonya kuwa Maresca hana mbinu mbadala, akizidiwa au mbinu yake ikijulikana ndio meli imezam,a kabisa. Tuliwapuuza na sasa tumeshuhudia tangu droo na Everton, Maresca ameshindwa kabisa kuja na mpango wa kushinda mechi.

Hata Chelsea ikipangwa na Namungo FC watafungwa tu.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Tujitokeze
Gj5HM-cWEAA-5wz.jpeg
 
Wamekani matajiri, wameacha shughuli zao huko kuja kufanya utapeli jijini London wa kutusajilia wachezaji kama Liam Delap (22) au Jamie Gittens (20) ili kuja kuungana na watoto wenzao eti project wanaita.

Klabu hiyo inalenga wachezaji wachanga wenye umri wa miaka 18-22, na hakuna wachezaji wenye uzoefu ndani ya malengo ya sasa ya uhamisho ya Chelsea.

Ndio maana tutawakumbuka sana akina Thiago Silva, Rudiger, Kante, Jorginho. Hizo ndizo wasifu ambazo zingeweza kuwasaidia vijana hawa kukua kwa njia sahihi na ya kasi inayotakiwa.
 
Jamie Carragher: “Chelsea has never been a project club, they were serial winners, they didn’t need to change it. I get they want young players, everyone wants young players but you can’t wait years
 
Back
Top Bottom