Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi wa Brighton dhidi ya Chelsea 3-0 hauhusu ubora wa Brighton bali ni mentality sahihi.hizi game tunaanziwa kufungwa kuanzia kwenye press conference, maana kwa mentality ya kocha nikama wachezaj wanaingia wamerelax
Kenge kabisaMbweha kabisa ninyi si lolote wala chochote mnafukuzia swala wala uwezo wa kumuangusha hamna
Safi dogoHii ndiyo Chelsea nayoijua Mm na naipongeza sana, mpaka J3 tutakuwa nafasi ya saba nafasi ambayo ni sahihi kwa sisi Chelkenge kuwepo.
Hii ndiyo Chelsea nayoijua Mm na naipongeza sana, mpaka J3 tutakuwa nafasi ya saba nafasi ambayo ni sahihi kwa sisi Chelkenge kuwepo.