Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

THE BLUES kwa kusajili marasta na makinda tuko vizuri.
Screenshot_20250314-223928-1.jpg
 
Niwakumbushe tu kwamba pamoja na kujikongoja kwa Chelsea na matatizo na uchanga wa Chelsea bado ipo nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi na baada ya mechi 28

Kwa hizi mechi kumi zilizobaki usishangae tukadinda na kumaliza wa nne au watatu
Wesley Fopfana karudi yuko kikosini
Romeo Lavia Yuko na karudi kikosini
Nicolas Jackson anakuja kuungana na Cole Palmer baada ya mapumziko ya kimataifa
Madueke anarudi naye kama Jackson -kumbuka baada ya Palmer na Enzo Fernandez, Madueke ndie anafuatia kwa kutengeneza nafasi Chelsea.
Reece James kapteni yuko fiti na anacheza vizuri na kufunga magoli kama mfano wa kuigwa
Enzo Fernandez yuko kwenye form ya hali ya juu
Moises Caisedo jembe, haugui wala hapati majeraha wala hachoki
Pedro Neto huyo kasemwa semwa akaamua sasa kupress uwanja mzima mwenyewe
Jadon Sancho form inarudi kwa kasi
Marc Cucurela ndio sina la kuongeza Jembe na beki bora EPL
Levi Colwill na Tosin wameamua hapiti mtu kule nyuma
Wachezaji wote na kocha wamesema top 4 ni ya lazima na kushinda UECL ni ya lazima pia
Mechi hizi 10 zilizobaki zitakuwa ngumu sana sio kwetu bali kwa wapinzani wetu
Top 4 tunatinga na onyo tunatoa mwakani tupo kwenye mbio za ubingwa watake wasitake kwanza kwa sababu Liverpool watakuwa goigoi sana baada ya Mohamed Salah na Virgil van Dijk kuondoka.
Arsenal ni ile ile haibadiliki hata wakiwa kwenye form ya hali ya juu wao ni wasindikizaji tu
Man City ujenzi wa nyumba mpya unaanza mwakani, hii ya sasa haikaliki imechoka sana
Nani atatuzuia ubingwa mwakani?

View attachment 3266149
Maelezo mengi ila wakati wa mechi ulichoandika kinawakataa
 
Unakuwaga emotional sana tukishinda vi mechi uchwala tena vya kuungaunga unasahau timu haina strength yoyote ya kudhuru timu inayojielewa, top 5 hakuna timu tuliyoifunga mpaka sasa na gemu nyingi zilizobaki ni against strong team
 
Michango yangu imegawanyika katika sehemu kuu tatu:
  1. Michango ya Kishabiki: Hapa lengo ni kufurahisha, kutia moyo, na mara nyingine kutoa utani (jokes) kwa ajili ya mashabiki wenzangu au wapinzani. Kusudi kuu ni kuleta furaha kupitia mpira wa miguu, si kila wakati kuwa serious sana au kujikita tu katika ukweli.
  2. Michango ya Kichambuzi: Katika hatua hii, ushabiki huwekwa pembeni ili kutoa takwimu na kuweka hoja zenye msingi wa data. Lengo hapa ni kutoa ukweli kwa kutumia mantiki inayotegemea takwimu na uchambuzi wa kina. Uchambuzi hapa hasa kwenye sehemu ya hitimisho huwa inabeba mtizamo wangu nilivyoona kulingana na takwimu zilzokuwepo. Hapa sio lazima ifanane na uonavyo wewe au yule nk. Hili eneo huwa lina flexibility kubwa, maoni yako yanaweza kuwa tofauti na ya kwangu lakini wote tukawa sahihi kulingana na context ya kudfeend hoja.
  3. Michango ya Taarifa: Hapa tunashirikisha taarifa kutoka vyanzo mbalimbali huko kwenye mtandao wa X na vyanzo vingine ili kuwafikia wapenzi wa mpira ambao hawakubahatika kuzipata. Hii inawawezesha kusoma na kuelewa yanayoendelea kwenye ulimwengu wa mpira, hususan taarifa zinazohusu klabu ya Chelsea.
Kwa taarifa tu, mchango wangu uliokoment ni wa kishabikli nja ndani yake imejuaa utani ila wewe unataka kuifanya iwe seriosu, haikuwa lengo langu. Kwa hiyo unaposoma michango yangu daima imegawanyikia kwenye hizo sehemu tatu nilizozitaja
 
Toka kuwa "The Big Chelsea SC" hadi kuwa "Timu ya matopeni AKA Sarri Ball" kweli Akina Todd Boehly walikurupuka kumtimua Pochettinho.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Chelsea sasa inaegemea sana katika maendeleo katika akili bandia (AI).

Kwa kutumia mfumo mmoja changamano wanaweza kutathmini kila mchezaji katika kila nafasi, kwa kutumia mamia ya pointi za data, na kutoa mapendekezo ya nani anayefaa zaidi pamoja, kulingana na uwezo na udhaifu, katika miundo na mifumo tofauti ya mbinu.

{i Paper}

Sijui kama wamechambua kwa kina faida na madhara ya AI!

AI ikiwaambia Ganarcho ndie anayefaa kuwa winga wa kushoto wataenda kumnunua

Tusubiri tuoine
 
Chelsea munataka kuwarudishia nyumbu jadon sancho.
Cash Money Forever hii haikubaliki
Jadon Sancho hawezi rudishwa Man United kwa sababu kama mbili au tatau
1) Jadon Sancho haitaki Man United
2) Jadon Sancho anaipenda Chelsea
3) Jadon Sancho amekubali kupunguza mshahara wake ili uendane na structure ya sasa ya Chelsea na anapendwa na wotge pale Chelsea akiwepo kocha

Hizo taarifa zinazoenea ni za uongo na kutunga ili kuvutia trafiki za hao waandishi wa habari

Mwaka jana Gazeti la Ther Mirror, Goal.com na media zingine zilieleza wazi kuwa Sancho kakubali kushusha mshahara wake ili abaki Chelsea. Deal Done. Tunasubiri tu mkataba uishe ili tulipe deni kama tutamaliza nafasi ya 14 kwenda juu tutalipa £22 na £25 million. Pesa in aongezeka kulingana kwamba Chelsea inamaliza nafasi ya ngapi
 
  • Thanks
Reactions: K11
Chelsea sasa inaegemea sana katika maendeleo katika akili bandia (AI).

Kwa kutumia mfumo mmoja changamano wanaweza kutathmini kila mchezaji katika kila nafasi, kwa kutumia mamia ya pointi za data, na kutoa mapendekezo ya nani anayefaa zaidi pamoja, kulingana na uwezo na udhaifu, katika miundo na mifumo tofauti ya mbinu.

{i Paper}

Sijui kama wamechambua kwa kina faida na madhara ya AI!

AI ikiwaambia Ganarcho ndie anayefaa kuwa winga wa kushoto wataenda kumnunua

Tusubiri tuoine
Mfa maji haachi kutapatapa
 
Naangalia marudio ya mechi yetu na Aser8 msimu 2009/2010. Namuona mzee mzima Anelka A.k.a Mapungo. Kikosi kilikuwa kimeshiba kweli kweli

Cech, Ivanovic, Terry, A. Cole, J. Cole, Lampard, Essein, Carvalho, Obi, Dogba, Mapungo,
 
Jadon Sancho hawezi rudishwa Man United kwa sababu kama mbili au tatau
1) Jadon Sancho haitaki Man United
2) Jadon Sancho anaipenda Chelsea
3) Jadon Sancho amekubali kupunguza mshahara wake ili uendane na structure ya sasa ya Chelsea na anapendwa na wotge pale Chelsea akiwepo kocha

Hizo taarifa zinazoenea ni za uongo na kutunga ili kuvutia trafiki za hao waandishi wa habari

Mwaka jana Gazeti la Ther Mirror, Goal.com na media zingine zilieleza wazi kuwa Sancho kakubali kushusha mshahara wake ili abaki Chelsea. Deal Done. Tunasubiri tu mkataba uishe ili tulipe deni kama tutamaliza nafasi ya 14 kwenda juu tutalipa £22 na £25 million. Pesa in aongezeka kulingana kwamba Chelsea inamaliza nafasi ya ngapi
1742035038303.jpeg
 
Imethibitishwa! England itaingia timu TANO kwenye Ligi ya Mabingwa msimu ujao!
Kwa hiyo sasa sio lazima top 4 bali top 5
 
  • Thanks
Reactions: K11
Kama Chelsea haitamaliza top 14, Jadon Sancho anarudi Man United bila fine yeyote na hizo ndizo zilikuwa mojawapo ya conditions za mkopo. Kama Chelsea itamaliza juu ya 14 ada itaongezeka, nadhani wameweka formula lakini haitazidi pauni mil 25.
Kama Chelsea ikigeuka na kumkataa Jadon Sancho hata kama imemaliza zaidi ya 14 kwenye ligi, basi Chelsea watapigwa faini kubwa ambayo sidhani kama Chelsea watakubali kuilipa. Ngoja tuone
 
-----------------Gyökeres -----------------

Neto ---------Palmer------------Estevao

-------Fernandez --------- Caicedo--------

Cucurella --Colwill ----Fofana --------James

------------Petrovic -----------------------

Bench
1) Jorgensen
2) Tosin
3) Cheampong
4) Lavia
5) Santos
6) Kendry Paez
7) Sancho
8) Madueke
9) Jackson

Nani atatuzuia tusibebe EPL msimu ujao
 
Geovany Quenda alikuwa na release claus ya €100m katika mkataba wake, ingawa ripoti nyingi kutoka Ureno zilipendekeza wangekubali €60m.

Hata hivyo, Chelsea wamemnunua kwa pauni milioni 40, bila ya kuongeza wala kipengele cha kumuuza, kwa sababu walikuwa tayari kumruhusu abaki Lisbon kwa miezi 12 zaidi.

Kwa wale wasiomjua Geovany Quenda ni mmojawapo wa mawinga watatu wa U23 bora ulaya kwa sasa akiwa bado na miaka 17 tu. Amekuwa mchezaji wa kuanza kwenye clabu ya Sporting Lisborn. Sasa kwa sababu tumemnunua bila hata ya addons na sell clause sijui kama Sporting watakubali kumpa nafasi wamuache mawinga wao wengine ambao wangependa kuwaendeleza zaidi

1742037758670.png
 
Kendry Paez anaandaliwa kuja kuwa msaidizi wa Enzo Fernandez kwenye na. 8 badala ya kufanya kuchezai pembeni kama winga.

1742038263920.png
 
Back
Top Bottom