Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Mi sisikilizagi nyimbo zenu za mapenzi hizo....dkk 40 zako zimeisha najipa break!!hahahah lolusisikilize sana maana utakukumbusha fudo dido..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sisikilizagi nyimbo zenu za mapenzi hizo....dkk 40 zako zimeisha najipa break!!hahahah lolusisikilize sana maana utakukumbusha fudo dido..
Mi sisikilizagi nyimbo zenu za mapenzi hizo....dkk 40 zako zimeisha najipa break!!
sikiliza hapo anaposema "girl i'm here for you,
all those time and night when you just hurt me,
i just run out with another fellah , baby i knew about it.
i just didn't care........ etc.. kuanzia dakika hii 3.36...."
hiyo sauti hunipeleka mbali saana ... mmmmmhhhh
Boyz II Men - End Of The Road
YouTube - ‪Boyz II Men - End Of The Road‬‏
Already there!!Ohhh nimeona....pole yake!!Siku mingi tu ingia basi upande wa pili..nilikuwa na weka kitu hapa kuhusu huyu kijana ni mmpendae ..nampa pole sana...https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/149365-ally-kiba-apata-ajali.html
yaani nikuite li-Lizzy? Mmmh....hapana jamani hata hainipendezi, mtoto mzuri kama wewe, tena mwenye shabaha!! Basi wacha nikuite Lizzy. Ninong'oneze basi wangu eti Afro kakupa zawadi gani vile...?Hahhaha....yani we acha tu ...kweli bahati yangu haikimbiliki!!Alafu we kiSWEET naomba hapo kwenye ki- kabla ya Lizzy ubadilishe iwe li-...!
naupenda ile mbaya
mmmhhh
.......kidole cha kati cha mkono........
Hheheheh....eti mtoto mzuri!!Leo sitolala aiseee....!SOGEA KARIBU BASI NIKUNONGONEZE!yaani nikuite li-Lizzy? Mmmh....hapana jamani hata hainipendezi, mtoto mzuri kama wewe, tena mwenye shabaha!! Basi wacha nikuite Lizzy. Ninong'oneze basi wangu eti Afro kakupa zawadi gani vile...?
polite faceAsilimia 40 (40%) ya wasichana wanaangalia naKupenda ..Hiki ............ kabla ya kudate mwanaume..JE ni nini?? Waweza hisia mara nyingi upendavyo..All the best ...
Tayari nishasogea, haya niambie basi!Hheheheh....eti mtoto mzuri!!Leo sitolala aiseee....!SOGEA KARIBU BASI NIKUNONGONEZE!
Mi sio mmbea jamani nafurahia ushindi wa Lizzy.mmhh nawe mmbea hahahahahah lol
sauti tena mama??MTM kwa case ya sauti wanajua lol addiction nyingine mh
AD bwana umenifurahisha....nyingine ukiikumbuka tu unatetemeka mpaka kizazi kwa kusisimkasante mamake..kwa sauti hatukosei njia...
Owkey usimwambie mtu lakini....kaniambia kuna tajiri mmoja huku JF ataniunganishia!! Nae ana sauti matata!Tayari nishasogea, haya niambie basi!
AD bwana umenifurahisha....nyingine ukiikumbuka tu unatetemeka mpaka kizazi kwa kusisimka