Chemsha bongo MMU....

Chemsha bongo MMU....

hivi deep voice ni ipi ?????

barry white??????
huyo jamaa wa boyz 2 men????????

na sisi wenye sauti kali mnatu define vipi??????????

sauti ya juu kama zitto kabwe?????????????
 
hivi deep voice ni ipi ?????barry white??????huyo jamaa wa boyz 2 men????????na sisi wenye sauti kali mnatu define vipi??????????sauti ya juu kama zitto kabwe?????????????
Sauti kali ndio inakuaje???!
 
Sauti kali ndio inakuaje???!

sauti kali ni sauti ambayo iko juu most of time
unaweza sema nafoka kumbe nazungumza....
kwenye nyumba ya ghorofa,nikiwa zaungumza na mtu juu
watu wa chini wanaweza sikia sauti yangu,but wasisikie ya ninaezungumza nae....

sauti iko juu,mfano zitto anapozungumza bungeni......

mimi nikizungumza,watu walionizoea huwa wanakumbusha kushusha sauti most of time...
 
hahahahahah lolsawa bana ngoja niwakabidhi ufunguo wa nyumba yangu mkivunjakitu mtanikoma hahahahaha lol
Wewee..... Mbona rahaaaa!! Lizzy chukua haraka iyo funguo au tayari tajiri ndo mpango mzima? Ucjali Afro hatuvunji chochote mi ntawahi kwenye sub-woofer tu, mambo ya burudani kwanza!!
 
sauti kali ni sauti ambayo iko juu most of timeunaweza sema nafoka kumbe nazungumza....kwenye nyumba ya ghorofa,nikiwa zaungumza na mtu juuwatu wa chini wanaweza sikia sauti yangu,but wasisikie ya ninaezungumza nae....sauti iko juu,mfano zitto anapozungumza bungeni......mimi nikizungumza,watu walionizoea huwa wanakumbusha kushusha sauti most of time...
Ohhhh kumbe hivyo....kama waIsrael!Ongea yao ni kama ugomvi!Sasa jhiyo inategemea maana unaweza kua na sauti ya ukali japo ni nyepesi au ikawa kali na nzito vizuri.Zitto siwezi kumwongelea sana kwasababu sijamsikiliza sana ila naweza sema naikubali kwa nilivyoisikia...nyingine ni ya yule mtangazaji wa kipindi cha njia panda anaitwa sijui nani Ndege!Nwy sauti ya kiume normally inatakiwa iwe deep....ila sasa mvuto unatofautiana.Kama za kike tu...wengi wana laini ila sio wote wanasifiwa kwamba wana sauti nzuri!!
 
Wewee..... Mbona rahaaaa!! Lizzy chukua haraka iyo funguo au tayari tajiri ndo mpango mzima? Ucjali Afro hatuvunji chochote mi ntawahi kwenye sub-woofer tu, mambo ya burudani kwanza!!
mtanikuta ndani
 
hivi deep voice ni ipi ?????

barry white??????
huyo jamaa wa boyz 2 men????????

na sisi wenye sauti kali mnatu define vipi??????????

sauti ya juu kama zitto kabwe?????????????

zote ni DEEP ( i mean Barry White na huyo jamaa wa BoyZ)

Kwa sauti kali una maanisha ipi siijui..
 
Asilimia 40 (40%) ya wasichana wanaangalia naKupenda ..Hiki ............ kabla ya kudate mwanaume..JE ni nini?? Waweza hisia mara nyingi upendavyo..All the best ...

Fedha. Ukiwa na fedha hata kama sura ni mbaya kama kiatu utasikia...."He's so cute!"
Ukiwa nazo baaaasi it's a game changer!
 
100% tutakuwa tunajuana suraaa. hahahaaaaaa.unaweza kukuta wewe ni mteja wangu.hahaaa

balaaa buluuu
cha muhimu naomba usiniambie
ulienda hiyo shule ya msingi hapo mjini..
miaka fulani fulani maanake mmmhhh
 
what about lafudhi?..nachukia mwanaume mwenye lafudhi ya kichaga hadi basi.. samahanini wachaga msinitoe macho...
Mayasa unaukumbuka wimbo wa Marija Rajabu unaosema Mayasa??? kama sijakosea hebu uonishe na jinsi ulivo??? kuwa na lafudhi fulani sio kupenda ni mother tangue ya mtu,je wenye lafudhi ya kihaya,kingoni,kimakonde,kimasai,kijaluo,kigogo, kisambaa nao unawachukia pia au umebagua tu wachaga?? acha ubaguzi Mayasa.Tena uombe radhi mapema.
 
Back
Top Bottom