Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

hapo hatopoteza tena lakini nina wasiwasi akipewa laki moja sijui itakuwaje kama elfu 10 tu imemsumbua kiasi hiki!

Yani mimi mwenyewe namshangaa!!
Nguo kaipenda mwenyewe,
Kukopa akope yeye,
Hiyo sh 100 adondoshe mwenyewe halafu swali atuulize sisi!!
Basi hyo mia itakuwa alikula ubuyu pale dukani kwa Mpemba.
Wangu,Usiku mwema!!!
 
Naomba kupata jibu kwa changamoto hii.
Nguo inauzwa Sh. 10,000/= na wewe huna pesa ya kununulia nguo hiyo. Ukaamua kukopa pesa kutoka kwa dada yako Sh. 5,000/= na kutoka kwa kaka yako Sh. 5,000/=. Hivyo jumla umekopa Sh. 10,000/=. Ukaenda ukapatana na kuuziwa nguo kwa Sh. 9,700/= na ukarudishiwa Sh. 300/=. Ukaamua kupunguza deni. Ukampa dada yako Sh. 100 na kaka yako pia ukampa Sh. 100/=. Na wewe pia ukabaki na Sh. 100/=. Deni kwa dada ni Sh. 4,900/= na kwa kaka ni Sh. 4,900/=. Ukijumlisha jumla ya deni ni Sh. 9,800/= na ukiongeza Sh. 100 uliyonayo jumla inakuwa ni Sh. 9,900/=. Je Sh. 100/= imekwenda wapi ili kukamilisha Sh. 10,000/=?

Wana JF naomba jibu.
 
Hili swali limeshaulizwa sijui mara ngapi. Haya Kongosho uje pande hii ujibu swali la marudio la wajina wake Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Niaje wana jf!!!hebu 2pieni majibu kwny hii chemsha ubongo
Katika kupitapita jamaa(Mpendawali) alikutana na muuza nguo!!!Mpendawali akaamua kuuliza bei ya Shati moja coz alikuwa amelikubari xana.,.Kwa mbwembwe mingi muuzaji akamwambia bei ya shati ni 10000...!!!
Kipenda roho hula nyama mbichi,bc Mpendawali akarudi home kukopa hela il aweze kulichukua hlo shati...
Alipata 5000 kutoka kwa bro wake na 5000 nyngne kutoka kwa cstr ake!!!Kama kawaida ya w2 weng Mpendawali aliomba apunguziwe bei ya shati,bila knyongo akauziwa kwa sh 9700 na kurudishiwa 300.
Alipofka home akaamua kupunguza deni,akampa bro sh 100,cstr sh 100 na yy akabakiwa na sh 100...
Kwa kufanya hvo akawa anadaiwa sh 4900 ya bro na sh 4900 ya cstr ambapo jumla ya deni itakuwa n sh 9800!!!
9800 100(aliyobakinayo)=9900
swali,je 100 imeenda wapi ili iwe 10000!!!Karbun wadau
 
9800+100(aliyobakinayo)=9900
swali,je 100 imeenda wapi ili iwe 10000!!!Karbun wadau

usijumlishe deni unalo daiwa na pesa uliyo nayo, hapo kwa sasa unadaiwa 9,800 hata uki pata 10,000 ukitoa 9,800 utabakiwa na 200 ukijumlisha na 100 uliyo nayo itakua 300 ambayo ndio uliyo punguziwa,
narudia tena usijumlishe deni unalo daiwa(-) na pesa uliyo nayo(+) hilo ni kosa kubwa sana kimahesabu.
 
Niaje wana jf!!!hebu 2pieni majibu kwny hii chemsha ubongo
Katika kupitapita jamaa(Mpendawali) alikutana na muuza nguo!!!Mpendawali akaamua kuuliza bei ya Shati moja coz alikuwa amelikubari xana.,.Kwa mbwembwe mingi muuzaji akamwambia bei ya shati ni 10000...!!!
Kipenda roho hula nyama mbichi,bc Mpendawali akarudi home kukopa hela il aweze kulichukua hlo shati...
Alipata 5000 kutoka kwa bro wake na 5000 nyngne kutoka kwa cstr ake!!!Kama kawaida ya w2 weng Mpendawali aliomba apunguziwe bei ya shati,bila knyongo akauziwa kwa sh 9700 na kurudishiwa 300.
Alipofka home akaamua kupunguza deni,akampa bro sh 100,cstr sh 100 na yy akabakiwa na sh 100...
Kwa kufanya hvo akawa anadaiwa sh 4900 ya bro na sh 4900 ya cstr ambapo jumla ya deni itakuwa n sh 9800!!!
9800 100(aliyobakinayo)=9900
swali,je 100 imeenda wapi ili iwe 10000!!!Karbun wadau

Hebu rekebisha kwanza hiyo lugha, kuanzia kwenye kichwa cha uzi, maana si kiswahili wala kiingereza!! Kisha tuendelee maana inachefua hata kusoma!
 
usijumlishe deni unalo daiwa na pesa uliyo nayo, hapo kwa sasa unadaiwa 9,800 hata uki pata 10,000 ukitoa 9,800 utabakiwa na 200 ukijumlisha na 100 uliyo nayo itakua 300 ambayo ndio uliyo punguziwa,
narudia tena usijumlishe deni unalo daiwa(-) na pesa uliyo nayo(-) hilo ni kosa kubwa sana kimahesabu.

mdau hyo prncpl ipo kwny uchum au.
 
we inaonesha hata bam 2 hukuxoma!!wanahexebu huwa ha2complicate lugha!!xo gpange bc

Mkuu it seems your definition of not complicating is to be idiot and so fool of yourself!! And i have better things to do than argue with ******!

Weka lugha inayoeleweka ili Tatizo lako lipatiwe ufumbuzi, sio kuandika andika vitu vya ajabu ajabu hapa .Huwezi rudi tena kule Primary school kwenye mafumbo..PERIOD, and i stand to be corrected.
 
mdau hyo prncpl ipo kwny uchum au.

Mkubwa inaonekana wewe sio expert in mathematics, hiyo ni basic mathematics ya primary mkuu,
ngoja niiweke simple unielewe japokua kwa mtu alie maliza form 4 ni jambo la aibu kutoelewa hili(USINICHUKULIE VIBAYA NDIO UKWELI HUO)
umesrma deni jumla ni 9,800 na wewe una 100(iliyo baki) hapo ukijumlisha hiyo 9,800 lazina iwe negative kwa sababu ni deni so itakua hivi
-9,800+100=-9,700 na sio 9,900
nacho taka kusema ni kwamba hapo ndipo ulipo changanyia mambo.
I hope umenielewa
 
emekopa 10000,umelipa 200 kwa wadeni wako,na deni umepunguza na kudaiwa 9800,kwahiyo hiyo bado haina mathara ktk deni.
 
we inaonesha hata bam 2 hukuxoma!!wanahexebu huwa ha2complicate lugha!!xo gpange bc

mkuu anachosema mdau hapo juu ni sawa kabisa yakupasa utumie lugha sahihi ili ueleweke na watu wengi,maana jf hupitiwa na watu wa rika mbalimbali hivyo sio wote wanaoelewa lugha uliyotumia eg. xema badala ya sema....na pia unaposahihishwa kubali mapungufu yako na ujisahihishe,ni hayo tu mkuu...
 
Hebu rekebisha kwanza hiyo lugha, kuanzia kwenye kichwa cha uzi, maana si kiswahili wala kiingereza!! Kisha tuendelee maana inachefua hata kusoma!

Mkuu kwa kweli hata mimi nimeshindwa kuelewa hii lugha ilyotumika,hiki labda ni kizulu
 
Back
Top Bottom