CHEMSHA BONGO: Watakaopata wana IQ zaidi ya 100, Kwa kutumia Hints Jibu swali kwa mtiriko husika

CHEMSHA BONGO: Watakaopata wana IQ zaidi ya 100, Kwa kutumia Hints Jibu swali kwa mtiriko husika

Hint no i
correct number is 2
_ _ 2

Hint no ii
Correct number is 4
_ 4 2

hint no iii
correct numbers are 0 & 2
_ 0 2

hint no iv
number 7&8 hazipo kwenye password
000

hint no v
consider hint no 4
correct number is 0

0 4 2
 
Ok Hili Ndio Jibu

From Hint number Moja Inasema One Number iko correct na iko well Placed kati ya 6,8,2...

Ukienda hint number 2 , Inasema Kati ya 6,1,4 .only Number moja ilo correct but iko Wrong placed..
Ukirejea Hint no 1 utagundua ilisema namba iko well placed...

So namba 6 Inakuwa Disqualified..

Namba 8, 7 na 3 imekuwa Disqualified by hint namba 4..

Hint namba tano inatupa namba 0 kama namba ya Pasword pekee kwa sababu 7 na 8 hazipo.. japo iko wrong placed..

Keahyo namba tunayopata itakuwa hivi..
Kwa mujibu wa Hint namba 1 ,2 na namba nne..

Namba itakuwa na mpangilio huu

X,X,2

Lakini pia kwa mujibu wa hint 3, Jibu litakuwa 0 na 2

Kwa mujibu wa Hint ya Tatu na tano, 0 Haitakaa mwishoni wala katikati..so Itakaa mwanzoni..
So namba yetu itakuwa..

0,X,2

Sasa hapa tutafute X..

Kulingana na hint namba 2 , 1 haiwezi kuwa kuwa namba hiyo...
Kwa sababu tumebakiza namba ya kati ila kwa hint namba 2, anasema Namba hiyo iko wrong place..

So namba ni 4..

So Jibu 0,4,2

Waliotaja hii wamepata
 
Ayaaaaaa kumbe jibu tayari ....
Sikuona mkuu doh.

Leo nimeshika pen na daftar aloo nimekaa mezani nacalculate 😃🙌
 
Umekosa mkuu!
Rejea Hint namba moja.. "Kwahiyo 6 na 2 haziwezi kuwa Pamoja"
Na kwa hint namba tatu 0,6 na 2 haziwezi kuwa pamoja ni Eidha namba mbili kati ya hizo na sio Zote..
Lakini hints zenyewe hazioneshi mutual exclusivity (logically). Maana yake ni kwamba namba mbili ama hata tatu zinaweza kuwepo pamoja bila kuathiriana. Hivyo, majibu ya swali/chemsha bongo yanaweza kuwa zaidi ya moja.
 
Haipingani na hint namba 1 kwa sababu hint namba 1 inazungumzia namba moja pekee kati ya 3 ambazo sio mutually exclusive. Namba zote tatu haziathiriani.
Soma comment no 84
Lakini hints zenyewe hazioneshi mutual exclusivity (logically). Maana yake ni kwamba namba mbili ama hata tatu zinaweza kuwepo pamoja bila kuathiriana. Hivyo, majibu ya swali/chemsha bongo yanaweza kuwa zaidi ya moja.
Soma tena Vizuri hint hizo
 
Back
Top Bottom